babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
Ukisema 'binti' unamaanisha 'bikra' sasa, sina hakika kama huyu bado ni bikra.Simkumbuki vizuri
Magogoni ndio wapi.??Mkuu yupo magogoni anasomea Human Resource
Acha a some ili aje arekebishe sheria ya mtandao..Nimejikuta najiuliza tu
1. Advanced level alianza kusoma lini?
2. Advanced level alisoma combination gani?
3. Advanced level alimaliza lini?
4. Kozi nyingi za Engineering zinahitaji ku-devote your time, sasa kwa purukushani zake ataiweza hiyo kozi?
Hitimisho
Kama atafanikiwa kuwa Engineer basi tujiandae kupata majanga mbalimbali ktk nyanja ya Telecommunication.
Ila pia aache utani kwa ninavyoifahamu Telecom si mchezo aise.
Ukisema 'binti' unamaanisha 'bikra' sasa, sina hakika kama huyu bado ni bikra.
Kweli kabisa hata mi nimeona hilo tena nimekumbuka alisoma PCM akapata division one ya point 3 sema tu muda ulikua mchache na alitingwa sana na shughuli zake. Lengo lilikua asomee urubani wa kurusha ndege kubwa za abiria ila sasa kaamua kupiga telecom engineering. Hongera zake.Acha a some ili aje arejebishe sheria ya mtandao..
Makubwa kumbe ndiyo module zenyewe za the so-called 'Software Engineering'.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Imekuwa tailored special for Lulu.
Mkuu nina uhakika 100% hiyo kozi magogoni ipo sio kwa kuambiwa na huyo Lulu nimemwona kwa macho yangu sasa wewe sijui nani kakambia hiyo kozi haipo. tafuta namba za chuo piga halafu uulize, labda ifutwe keshoMagogoni hakuna hiyo kozi
Tena secretary wa level oneNaomba usidhalilishe software engineers.
Ms Word na Excel ni kwa ma secretary, hakuna software engineer anasoma vitu kama hivi.
Magogoni hiyo hiyo ya anko mtumbaji, opp na OWM nyuma ya Wizara ya ardhi.Magogoni ndio wapi.??
Wamwache mtoto agonge nyanga za telecom engineering tena atatoka na first clas ya GPA 4.9heheheheheheh naona wasanii wanaanza kuzidhalilisha hz course sasa, duh labda lakn
Au thioo!!Wamwache mtoto agonge nyanga za telecom engineering tena atatoka na first clas ya GPA 4.9
yeah man yeah manAu thioo!!