Lulu arudi chuo, anachukua telecommunication engineering

Lulu arudi chuo, anachukua telecommunication engineering

Walianza ualimu wakaudharau,
wakaja uuguzi nao wakaleta utani hadi mtu akapasuliwa goti badala ya kichwa,
wakaja wakadhalilisha phd, wakaja wakadhalilisha heshima ya uprofesa, wameona haitoshi sasa wanamaliza na Engineering?
Au anatania tu? Kweli Engineering ya kina Dr. Kimaro, Dr. Koda, Dr. Nyaoro na wengineo ataiweza?
shikamoo nyaoro,naskia anaweza kukushika miaka kumi
 
Msanii mahiri wa filamu Elizabeth Micheal ‘Lulu’ amerudi chuoni na kuamua kuchukua kozi ya Telecommunication engineering.

Muigizaji huyo ameweka wazi anachosomea baada ya mashabiki katika mtandao wa Periscope, kutaka kujua anasomea nini baada ya kupost video mbalimbali katika mtandao huyo huku akizungumzia maswala ya chuo.

“Jamani nimechoka kuulizwa nasomea nini, nasomea nini, nachukua Telecommunication engineering,” alisema Lulu.

Muigizaji huyo hakupenda kuweka wazi ni chuo gani anasoma, lakini aliweka wazi wiki hii naingia katika mitihani.

Lulu ni miongoni mwa wasanii wachache wa filamu walioamua kurudi darasani na kuongeza maarifa.

Source ;Bongo 5

Anachukua au anataabikia?
 
Mbona kama alisema analipwa 15 mill kwa movie? Na hii ilikua 2015 kasema next year (2016) gharama zake zingekua mara mbili kwa kila movie..
 
Teh teh teh...itakuwa ni script ya movie! Yaani engineering hata physics hana..! Itakuwa engineering ya mwendo kasi na itakuwa ya kwanza kupewa mtu kama yeye duniani!! Telecom hata gravitation sidhani kama anajua ni kitu gani...lakini kwa kuwa ni msanii naona ni maigizo tu..
mkuu ndio maana kasema anachukua teh teh
 
Kabisa! Hivi umeshapata kujiuliza alitumia Law ipi ya Issac Newton hadi kulipeleka chini jibaba kama Marehemu Kanumba?!
Labda alitumia ile mbinu aliyoitumia mfalme Daudi kumuua Gholiati.
 
Mweeh
 
Attachments

  • 1466530018828.jpg
    1466530018828.jpg
    54.4 KB · Views: 49
Msanii mahiri wa filamu Elizabeth Micheal ‘Lulu’ amerudi chuoni na kuamua kuchukua kozi ya Telecommunication engineering.

Muigizaji huyo ameweka wazi anachosomea baada ya mashabiki katika mtandao wa Periscope, kutaka kujua anasomea nini baada ya kupost video mbalimbali katika mtandao huyo huku akizungumzia maswala ya chuo.

“Jamani nimechoka kuulizwa nasomea nini, nasomea nini, nachukua Telecommunication engineering,” alisema Lulu.

Muigizaji huyo hakupenda kuweka wazi ni chuo gani anasoma, lakini aliweka wazi wiki hii naingia katika mitihani.

Lulu ni miongoni mwa wasanii wachache wa filamu walioamua kurudi darasani na kuongeza maarifa.

Source ;Bongo 5

Lulu mdo mdudu gani
 
Miongoni mwa wanafunzi maboya wa perfect vision huyu nae kwenye list alikuwemo,kutwa alikuwa anashinda kwenye vigenge vya chips na wadau nao walikuwa hawayumbi kumshesha humo no skul labda ushonaji kwa masista wa kijezuiti pale mbinga
 
Back
Top Bottom