Lulu arudi chuo, anachukua telecommunication engineering

Lulu arudi chuo, anachukua telecommunication engineering

Jaman mbona kasema anasoma Human resources,alianza certificate naona sa ivi yuko diploma
 
"Nikitaka mke jasiri,Nitatuma mshenga kwa Lulu"
 
Walianza ualimu wakaudharau,
wakaja uuguzi nao wakaleta utani hadi mtu akapasuliwa goti badala ya kichwa,
wakaja wakadhalilisha phd, wakaja wakadhalilisha heshima ya uprofesa, wameona haitoshi sasa wanamaliza na Engineering?
Au anatania tu? Kweli Engineering ya kina Dr. Kimaro, Dr. Koda, Dr. Nyaoro na wengineo ataiweza?
Ni Engineering ya Professor Maji Marefu.
 
Kama engineering ni rahisi hivyo wacha na mie nikasome hiyo course
 
Atakuwa amewatia hasira sana maengineer, huu ni ukosefu wa adabu na heshima kwa board.
 
shule kama hizi ni mizigo kwa taifa. hayo madarasa ni bora wapewe wafanya biashara wa kuku wafugie kuku. yani shule ina div 4 na zero tu!!
Hahahahaha....dah sina mbavu.... iko kule Mongo la ndege....Hahaha
 
images
lulu-new.jpg


lulu.jpg
Kumbe mrembo hivyo sasa anasoma ili iweje maana teyari kuna vigogo wamesha msomea yeye ni kula utamu wa dunia tu
 
Watu wanajua kuremba bwana, sasa MS Office inaitwa Software Engineering, kama Mwajuma ukimuuliza unaitwa nani anakwambia Mwa-J.
Halafu hao wanaosema ms office ndo sw engineering hebu waulize kaswali kadogo tu kuhusu labda nini maana ya prototyping utacheka mpaka upaliwe.
 
Back
Top Bottom