Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mpwa ndio maana kasema "anachukua" hahahhahahahaa uchokzi huu sasafrom Magogoni (secretary/records management) to Telecommunication Engineering...ONLY IN BONGOLAND.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpwa ndio maana kasema "anachukua" hahahhahahahaa uchokzi huu sasafrom Magogoni (secretary/records management) to Telecommunication Engineering...ONLY IN BONGOLAND.
from Magogoni (secretary/records management) to Telecommunication Engineering...ONLY IN BONGOLAND.
CCMChuo cha Mapenzi
Hapo sasa ndipo wanaponishangaza!Lulu naye! Anadhani hatujui anasoma hapo Magogoni hicho chuo kinaandaa masekretari.. Na wako kwenye mitihani kuanzia wiki jana.
Siku hizi ukisoma MS Word na XL Unasoma Engineering???[emoji23] [emoji23]
Nadhani anasoma Definition ya Telecom.Hiyo n i level gani? ni Foundation Course, Certificate, Diploma au Bachelor mkuu?
Nakubaliana na ww mkuu maana hii kitu ya Tele. sio kama kusoma scriptNadhani anasoma Definition ya Telecom.
Matokeo yake ya form four haya hapa.
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2011/csee2011/s3548.htm
View attachment 358613
Matokeo yake ya form four haya hapa.
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2011/csee2011/s3548.htm
View attachment 358613
Signature yako sio geni sana masikioni mwangu!Huyu bint jina lake siyo geni sana masikioni pangu
Mkuu yupo magogoni anasomea Human ResourceNi kweli yupo hapa mlimani
Kwa matokea haya..hata sifa ya kusoma cheti hana!Matokeo yake ya form four haya hapa.
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2011/csee2011/s3548.htm
View attachment 358613
Haaaaaa[emoji2][emoji2]Lulu naye! Anadhani hatujui anasoma hapo Magogoni hicho chuo kinaandaa masekretari.. Na wako kwenye mitihani kuanzia wiki jana.
Siku hizi ukisoma MS Word na XL Unasoma Engineering???[emoji23] [emoji23]
Duh!Matokeo yake ya form four haya hapa.
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2011/csee2011/s3548.htm
View attachment 358613
Msanii mahiri wa filamu Elizabeth Micheal ‘Lulu’ amerudi chuoni na kuamua kuchukua kozi ya Telecommunication engineering.
Muigizaji huyo ameweka wazi anachosomea baada ya mashabiki katika mtandao wa Periscope, kutaka kujua anasomea nini baada ya kupost video mbalimbali katika mtandao huyo huku akizungumzia maswala ya chuo.
“Jamani nimechoka kuulizwa nasomea nini, nasomea nini, nachukua Telecommunication engineering,” alisema Lulu.
Muigizaji huyo hakupenda kuweka wazi ni chuo gani anasoma, lakini aliweka wazi wiki hii naingia katika mitihani.
Lulu ni miongoni mwa wasanii wachache wa filamu walioamua kurudi darasani na kuongeza maarifa.
Source ;Bongo 5