Lulu arudi chuo, anachukua telecommunication engineering

Lulu arudi chuo, anachukua telecommunication engineering

Acheni utani na taaluma za watu jamani,

Haya kwa kuanzia tu, weka matokeo yake ya kidato cha nne hapa na A level.
Hujayaona tu lk mazuri anakaribiana na ya Jesi mwenzie anakipiga Udom bachelor
 
Acheni utani na taaluma za watu jamani,

Haya kwa kuanzia tu, weka matokeo yake ya kidato cha nne hapa na A level.
Matokeo yake ya kidato cha nne haya hapa
2e30901d36e6c6828159a7da3432e256.jpg
 
Lulu naye! Anadhani hatujui anasoma hapo Magogoni hicho chuo kinaandaa masekretari.. Na wako kwenye mitihani kuanzia wiki jana.

Siku hizi ukisoma MS Word na XL Unasoma Engineering???[emoji23] [emoji23]
labda yupo kwa maigizo
 
Kumbe Communication Engineering ni rahisi kama Bongo 'sinema'. Ile ya jambazi mwenye bastola kuvua viatu kabla ya kuvamia.
 
Hilo hata mimi nilitaka kuuliza nikaona nisipigwe ban bure maana ukiuliza watu wamefikaje huko ni matusi, lakini all in all hongera zake. Wengine waige mfano.
Lulu ni nani huyu jamani kuna k picha nimuone?
 
Lulu naye! Anadhani hatujui anasoma hapo Magogoni hicho chuo kinaandaa masekretari.. Na wako kwenye mitihani kuanzia wiki jana.

Siku hizi ukisoma MS Word na XL Unasoma Engineering???[emoji23] [emoji23]
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Nimejikuta najiuliza tu
1. Advanced level alianza kusoma lini?
2. Advanced level alisoma combination gani?
3. Advanced level alimaliza lini?
4. Kozi nyingi za Engineering zinahitaji ku-devote your time, sasa kwa purukushani zake ataiweza hiyo kozi?

Hitimisho
Kama atafanikiwa kuwa Engineer basi tujiandae kupata majanga mbalimbali ktk nyanja ya Telecommunication.
Ila pia aache utani kwa ninavyoifahamu Telecom si mchezo aise.
 
Walianza ualimu wakaudharau,
wakaja uuguzi nao wakaleta utani hadi mtu akapasuliwa goti badala ya kichwa,
wakaja wakadhalilisha phd, wakaja wakadhalilisha heshima ya uprofesa, wameona haitoshi sasa wanamaliza na Engineering?
Au anatania tu? Kweli Engineering ya kina Dr. Kimaro, Dr. Koda, Dr. Nyaoro na wengineo ataiweza?
 
Back
Top Bottom