warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Hyo foundation mwenzanguHiyo n i level gani? ni Foundation Course, Certificate, Diploma au Bachelor mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo foundation mwenzanguHiyo n i level gani? ni Foundation Course, Certificate, Diploma au Bachelor mkuu?
Hujayaona tu lk mazuri anakaribiana na ya Jesi mwenzie anakipiga Udom bachelorAcheni utani na taaluma za watu jamani,
Haya kwa kuanzia tu, weka matokeo yake ya kidato cha nne hapa na A level.
Matokeo yake ya kidato cha nne haya hapaAcheni utani na taaluma za watu jamani,
Haya kwa kuanzia tu, weka matokeo yake ya kidato cha nne hapa na A level.
Neenda post na #27 utayaona jes amemuacha kidogo sana.Acheni utani na taaluma za watu jamani,
Haya kwa kuanzia tu, weka matokeo yake ya kidato cha nne hapa na A level.
shule kama hizi ni mizigo kwa taifa. hayo madarasa ni bora wapewe wafanya biashara wa kuku wafugie kuku. yani shule ina div 4 na zero tu!!Matokeo yake ya kidato cha nne haya hapa![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mkuushule kama hizi ni mizigo kwa taifa. hayo madarasa ni bora wapewe wafanya biashara wa kuku wafugie kuku. yani shule ina div 4 na zero tu!!
Hee kumbe alikua genius kwenye shule yake.Matokeo yake ya form four haya hapa.
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2011/csee2011/s3548.htm
View attachment 358613
labda yupo kwa maigizoLulu naye! Anadhani hatujui anasoma hapo Magogoni hicho chuo kinaandaa masekretari.. Na wako kwenye mitihani kuanzia wiki jana.
Siku hizi ukisoma MS Word na XL Unasoma Engineering???[emoji23] [emoji23]
Msanii mahiri wa filamu Elizabeth Micheal ‘Lulu’ amerudi chuoni na kuamua kuchukua kozi ya Telecommunication engineering.
Bora na heri yake ANACHUKUA kumbe sio KUSOMEA
Ndio manini eti?"Telecommunication Engineering" basi sawa
Lulu ni nani huyu jamani kuna k picha nimuone?Hilo hata mimi nilitaka kuuliza nikaona nisipigwe ban bure maana ukiuliza watu wamefikaje huko ni matusi, lakini all in all hongera zake. Wengine waige mfano.
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Lulu naye! Anadhani hatujui anasoma hapo Magogoni hicho chuo kinaandaa masekretari.. Na wako kwenye mitihani kuanzia wiki jana.
Siku hizi ukisoma MS Word na XL Unasoma Engineering???[emoji23] [emoji23]
Walianza ualimu wakaudharau,
Kwenye ubunge huko hata waganga wa kienyeji wamo kwa hiyo huko siwezi shangaa.Badae mtathikia kawa Mbu-Nge wa chama changu!