Lulu arudi chuo, anachukua telecommunication engineering

tatzo letu watz tunamjaj mtu kwa kumuangalia tu kumbe ktk elimu hakuna kinachoshndkana ni suala la kujitoa kwan hata hzo kozi ambazo pipoz wanaconsider kama ni rahis still watu wanafail,so ni suala la maamuzi tu
 
Hata magazeti huwa yanasomwa. Huenda kaenda kusoma gazeti
 
dah kweli fani yetu ya uhandisi imekuwa nyepesi mpaka bongo movie wanasoma itabidi degree yangu nikafungie mihogo tu
 
Lulu naye! Anadhani hatujui anasoma hapo Magogoni hicho chuo kinaandaa masekretari.. Na wako kwenye mitihani kuanzia wiki jana.

Siku hizi ukisoma MS Word na XL Unasoma Engineering???[emoji23] [emoji23]

Nimecheka kwa sauti haswa
Telecom Engineering" Sidhani hata kama alisoma masomo ya sayansi huyu zaidi ya arts
 
tatzo letu watz tunamjaj mtu kwa kumuangalia tu kumbe ktk elimu hakuna kinachoshndkana ni suala la kujitoa kwan hata hzo kozi ambazo pipoz wanaconsider kama ni rahis still watu wanafail,so ni suala la maamuzi tu
Sio kejeli Mkuu , hivi unajua qualification za kusoma engineering na huyo lulu unafaham matokeo yake ,
 
Hahahahaaaaa eti Lulu asome engineering? tena Telecom engineering!!!!
Itakua amechanganya kwenye kutaja
 
Lulu naye! Anadhani hatujui anasoma hapo Magogoni hicho chuo kinaandaa masekretari.. Na wako kwenye mitihani kuanzia wiki jana.

Siku hizi ukisoma MS Word na XL Unasoma Engineering???[emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Msanii mahiri wa filamu Elizabeth Micheal β€˜Lulu’ amerudi chuoni na kuamua kuchukua kozi ya Telecommunication engineering.

Bora na heri yake ANACHUKUA kumbe sio KUSOMEA
Hapo kwenye KUCHUKUA umenikumbusha nilivyokuwa chuo kuna lecturer mmoja wa sheria kila akitoa mtihani anatuambia kabisa mliokuja KUCHUKUA degree hapa hamtoboi, na alikuwa anahakikisha nusu ya darasa wanakunywa SUP
 
ha ha "Telecom engineering " anahisi ni scene hiyo. πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›. Akisoma telecom tunamwambia ndalichako achunguze cheti chake maana yawezekana alivua
 
HAKA KATOTO KALIKUWA KADEMU KANGU PALE PERFECT VISION HIGH SCHOOL ALIPATA IV 32 NI MBUMBUMBU KICHWA BOX HAPO ANADANGANYA UMMA TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…