Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
au kukariri scripts akiwa location!anafikiri hiyo kozi ni rahisi kama kula ugali na maharage?
ma injinia mkaribishen mwenzenu basi
Lulu naye! Anadhani hatujui anasoma hapo Magogoni hicho chuo kinaandaa masekretari.. Na wako kwenye mitihani kuanzia wiki jana.
Siku hizi ukisoma MS Word na XL Unasoma Engineering???[emoji23] [emoji23]
Sio kejeli Mkuu , hivi unajua qualification za kusoma engineering na huyo lulu unafaham matokeo yake ,tatzo letu watz tunamjaj mtu kwa kumuangalia tu kumbe ktk elimu hakuna kinachoshndkana ni suala la kujitoa kwan hata hzo kozi ambazo pipoz wanaconsider kama ni rahis still watu wanafail,so ni suala la maamuzi tu
AsanteNdiyo maandalizi ya kuwa CEO wa FM Radio?
okey boss injiniahatuwezi kukaribisha ****** kwenye taaluma ya vipanga bakini nae huko huko mangwini
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Lulu naye! Anadhani hatujui anasoma hapo Magogoni hicho chuo kinaandaa masekretari.. Na wako kwenye mitihani kuanzia wiki jana.
Siku hizi ukisoma MS Word na XL Unasoma Engineering???[emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]muacheni khaaa
watu mna nyota za kukatisha wenzenu tamaa
Hapo kwenye KUCHUKUA umenikumbusha nilivyokuwa chuo kuna lecturer mmoja wa sheria kila akitoa mtihani anatuambia kabisa mliokuja KUCHUKUA degree hapa hamtoboi, na alikuwa anahakikisha nusu ya darasa wanakunywa SUPMsanii mahiri wa filamu Elizabeth Micheal ‘Lulu’ amerudi chuoni na kuamua kuchukua kozi ya Telecommunication engineering.
Bora na heri yake ANACHUKUA kumbe sio KUSOMEA