Mi bnafsi pia huwa namkubal anawashnda hata dada zake kwa skendo chafu(lyk wema)
Kwa kifupi...'Anafaa kuwa mke wa m2"!!
Wewe unamuwazia uke, kwani kakuambia namna anatunza ndoa yake? Yeyye anawaza kusoma ili aje awe professional lady. Anahitaji kufanya maisha yake kisomi, wewe unamuwazia uhouse wife. Si uende kwa kina shilole wanaowaza suruali tu?
Mwache asome, akpta elimu, atafahamu namna ya kubalance wheel ya maisha na ndipo utaona kama atakufaa kwa uke au la.
Kama ndivyo,wanawake wasomi wengi wapo kaoe hao ila huyu mwache anataka kusoma!. Jamani wanaume wa kiswahili tunatia aibu.