Lulu atamani kushindana na wasomi

Mi bnafsi pia huwa namkubal anawashnda hata dada zake kwa skendo chafu(lyk wema)

Kwa kifupi...'Anafaa kuwa mke wa m2"!!

Wewe unamuwazia uke, kwani kakuambia namna anatunza ndoa yake? Yeyye anawaza kusoma ili aje awe professional lady. Anahitaji kufanya maisha yake kisomi, wewe unamuwazia uhouse wife. Si uende kwa kina shilole wanaowaza suruali tu?

Mwache asome, akpta elimu, atafahamu namna ya kubalance wheel ya maisha na ndipo utaona kama atakufaa kwa uke au la.

Kama ndivyo,wanawake wasomi wengi wapo kaoe hao ila huyu mwache anataka kusoma!. Jamani wanaume wa kiswahili tunatia aibu.
 
Kwa back ground aliyotokea Lulu unaweza kusema yeye ni fighter. Kwa maisha yale kusoma ingekuwa ngumu kwake. Hata mahojiano yake na Salama Jabir kwenye Mkasi, Salama alichomekea 'wewe si ndio jembe nyumbani'. Lulu aliifeel kiaina.
 
Huyu dogo kaanza kupata akili kama ataendelea hivyo atafika mbali kimaisha
 
Lulu pamoja na mambo mengine lakini anajua jinsi ya kufanya life calculations ambazo wengi zinawashinda, kingine ni kuwa haexpose maisha yake kivile.
Hapa mie huwa namuona anajielewa, hayo mengine ya kawaida tu na yapo kila sehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…