Lulu atimiza miaka 18 - Hongera sana

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752


MHUSIKA katika kiwanda cha filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu' (pichani), ameangusha bonge la ‘pati ya bethdei' ya kutimiza miaka 18 inayodaiwa kugharimu takribani shilingi milioni 3.

Tukio hilo lilichukua nafasi maeneo ya Sinza-Madukani, Dar es Salaam Jumapili iliyopita ambapo lilihudhuriwa na ‘mashostito' wa karibu wa msanii huyo.
Chanzo hicho kilitambaa na mistari kuwa, marafiki hao walipigwa na butwaa kwa kitendo cha Lulu kugharamia bethdei hiyo kiasi kikubwa cha fedha ukilinganisha na kipato chake.

"Kusema kweli Lulu alifanya kufuru ya aina yake, sisi wenyewe hatukuamini kwani viwalo peke yake viligharimu shilingi laki 7 kwa hesabu za haraka.
"Nakwambia tulijiachia, haijawahi kutokea kwani kinywaji cha bei ya chini kabisa kilikuwa ni cha ‘buku' nne," kilisema chanzo hicho ambacho ni rafiki wa karibu wa Lulu aliyehudhuria sherehe hiyo.

Hata hivyo, chanzo hicho kiliongeza kwamba, mpango mzima ulihudhuriwa na mastaa kiduchu huku mama mzazi wa Lulu akiwa hana habari.
Baada ya kuzitia kibindoni ‘nyiuzi' hizo, Risasi Mchanganyiko lilimvutia waya Lulu na kummwagia ishu nzima ‘pwaa' ambapo alidai kuwa hakumbuki kama kilifika kiasi hicho.

Alisema: "Ninachokumbuka mimi niligharamia fedha taslimu zaidi ya shilingi milioni 2.3, sina hakika kama zilifika ‘em 3'."
Aliendelea kudadavua: "Sikuwaalika wasanii wenzangu wengi kwa sababu siyo marafiki zangu, nimejuana nao kwa ajili ya kazi tu."

Jumapili ya Aprili 17, mwaka huu, Lulu alikuwa akisherehekea kutimiza miaka 18 aliyotimiza katikati ya wiki iliyopita hivyo kutamba kwamba amewanyamazisha watu waliokuwa wakimsema mara kwa mara kuwa haruhusiwi kufanya mambo ya kikubwa.

 

Attachments

  • Happy birthday lulu2.jpg
    27.4 KB · Views: 8,070
  • Happy birthday lulu.jpg
    44.7 KB · Views: 5,287
anafurahia kuwa mkubwa na kupata tiketi ya kukesha kwenye madisko
 


hapo kwenye red mmmh!
 
Ndo anatimiza miaka 18 na kishachuja? Amechoshwa????????? Bt source plse!
 
Anywayz : Like Mother Like Daughter - Mama yake ni mtu wa Kinywaji nadhani Tabata-Chang'ombe wote wanamfahamu!
 


Mtoto katulia tuli hana hila wala hiyana na watu kila kukicha wanamsakama kama mpira wa kona mara mdogo ohoo kakimbilia mambo ya kikubwa sasa katimiza miaka kumi na nane sijui mtasema nini.
 


Mtoto katulia tuli hana hila wala hiyana na watu kila kukicha wanamsakama kama mpira wa kona mara mdogo ohoo kakimbilia mambo ya kikubwa sasa katimiza miaka kumi na nane sijui mtasema nini.

Tutasema alianza mapema kabla ya toleo lake-hivyo mileage imekwenda mno!!!
 
Hongera binti yangu
Taratibu na binti wa watu jamani. Huyu anatakiwa apewe ushauri nasaha wa kujiheshimu kwani mavazi anayovaa hayana maadili kabisa na ndo michango mingi ya mawazo ya wana JF humu inatolewa kutokana na alivyo. Kama angekuwa mtu srious upepo wa michango ya mawazo ungezungumza point za aina nyingine. Ustaa si kukosa staha kama huyu binti kwa mavazi yake ametukosea adabu sisi wazazi wenye uchungu wa wanetu.
 
Ngoja tumtafune kwa raha zetu,sio zamani kwa kujificha kuogopa miaka 30 jela,mtoto soko lake liko juu sasa hivi lakini namuonea huruma mpaka kufikia mwakani kwisha kazi.
 
Mh!!! Kanaonekana katamu sana aise ..... nani anazo namba zake za simu nikachakachue. Hapo akina mzee fataki kwa raha zao kwsbb ruksa .... its not under age ...... not a minor ..... and u can contract legally.
Ila kanatakiwa kaanze kufikiri kwa kina maana ni mfano wa kuigwa kwenye jamii ukizingatia yeye ni uso wa kioo na watoto wetu wanachungulia kioo kila kukicha .... wanatakiwa wajifunze mambo mema toka kwake.....
 

Mwenzenu anatangaza biashara, akijifunika atapataje wateja! Mkuu kumbuka BIASHARA MATANGAZO! Hushangai hizo pesa za kufanya birthday party kapata wapi wakati wanaishi na mama yake kwenye chumba kimoja na mama yake mlevi mbwa! Alianza biashara muda mrefu sana, kwa kifupi anajitegemea na kumsaidia mama yake kupitia biashara hiyo hiyo! Shule alishaacha aliona michosho, wakati pesa ziko nje nje, wawekezaji wanampapatikia! Inasikitisha, lakini habari ndiyo hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…