Lulu: Bongo movie ishabuma, nimeamua kurudi shule

Hongera Lulu utafika mbali sana komaa na shule kwa kipindi hiki bado mbichi maana ukikata shule fasta unapata kazi kwa uzuri wako huo ukisubiri hadi uchuje kama alivyochuja Nora imekula kwako,enzi hizo nora alikuwa habare ya mujini.

Nora mkali bhana, juzi nilimuona kwenye mkasi kwa kweli analipa bado, ana sura nzur sana na vile anavyoongea dah ananiuaga kweli, nora mkali bado sema jina lake limeshuka, akipata kick ya kutosha atarudi kwenye level zake
 
Hongera Lulu utafika mbali sana komaa na shule kwa kipindi hiki bado mbichi maana ukikata shule fasta unapata kazi kwa uzuri wako huo ukisubiri hadi uchuje kama alivyochuja Nora imekula kwako,enzi hizo nora alikuwa habare ya mujini.

Nora enzi zake alikuwa balaa, nakumbuka ile movie ya sikitiko langu kipindi kile ye na johar ndo madiva wa bongo movie ilikuwa ni shidaa, ila mpaka sasa ivi nora ni kifaa, nilivyomuona kwenye mkasi juzi kwa kweli nora mzuri bhana hajachuja kwa mvuto, labda jina
 
Magogoni ni chuo kilicho anzishwa makusudi na kuwekwa pale kilipo Karibu na ofisi za muhimu za nchi kwa makusudi

Makusudi hayo ni kupendezesha macho ya wenye nchi,pale ni mbugani kwa wenyewe ndio maana course nyingi pale ni zile zinazo pendwa na wadada.

Mwenzenu kaenda mbugani ili awindwe na hilo ni tangazo kwa wawindaji kuwa yeye yupo mbugani ili wajue pa kumpata
 
Hahahaaaa,jamani!!!!Hatari sana hiyo
 
Kuna wakala wangu wa umbea pale magogoni ananipaga umbea wa lulu, nasikia ana akili tu ana perform vzur darasan, nasikia katulia kwa kweli

Kweli mambo mengine akiyaweka pembeni atafanikiwa tu mbona......hakunaga kinachoshindikana kama mtu ana nia.
Kafanya maamuzi mazuri kwakweli unless alete ubishoo!
 
Papuchi ilivyo na thamani nchi hii yule kaambiwa apate cheti tu mchezo uishe mtasikia yupo ofisi kubwa.
 
Hawa Ma~ beautiful Onyinye wa Bongo kazi sana.
 
usishangae baada ya mwaka mmoja akatunukiwa phd ya heshima, akaitwa dk lulu, chezea bongo wew
 
Magogoni ni chuo kilicho anzishwa makusudi na kuwekwa pale kilipo Karibu na ofisi za muhimu za nchi kwa makusudi

Makusudi hayo ni kupendezesha macho ya wenye nchi,pale ni mbugani kwa wenyewe ndio maana course nyingi pale ni zile zinazo pendwa na wadada.

Mwenzenu kaenda mbugani ili awindwe na hilo ni tangazo kwa wawindaji kuwa yeye yupo mbugani ili wajue pa kumpata

Hahahah daah
 
Back
Top Bottom