Lulu Diva ni Pisi iliyosimama

Lulu Diva ni Pisi iliyosimama

Maelezo yasiwe mengi huyo hapo mrembo mmoja anajiita sexy Diva au sio mazee.

==

Lulu Diva ni msanii maarufu wa muziki Tanzania, anayejulikana kwa sauti yake ya kipekee na uimbaji wake wa kuvutia.

Alijipatia umaarufu mkubwa kupitia nyimbo kama "Ona" na "Alewa," ambazo zimekuwa na mafanikio makubwa katika tasnia ya muziki wake wa Bongo Flava.

View attachment 3171319View attachment 3171320View attachment 3171321
Mbona hemed alisema anaitwa Belinda mwakijambile?
 
Back
Top Bottom