Lulu 'Elizabeth Michael', aingia kwenye bifu zito na Miss Tanzania 2012, baada ya kumpora bwana wake

Lulu 'Elizabeth Michael', aingia kwenye bifu zito na Miss Tanzania 2012, baada ya kumpora bwana wake

Wanaume bana...Mtu ana mke lakini anakitembezaOna sada aibu alomtia mkewe
huyu hata hajapata aibu...mke wa pedeshee yule wa bukoba ndo alipata aibu mzee alikufa muda mfupi baada ya kuzidiwa akiwa anabanjuana na kabinti kwenyr gari lake
 
huyu hata hajapata aibu...mke wa pedeshee yule wa bukoba ndo alipata aibu mzee alikufa muda mfupi baada ya kuzidiwa akiwa anabanjuana na kabinti kwenyr gari lake

Ile ilikua balaaa duuuuu
 
yani unakua unalizwa na mengi

Unawaza dushe la mmeo lilivyokua linazama ,huku kilio heee uwwiiiiiii lazima ujiangalie kwenye kio mara 10000 ila wanaume ndio hivyo utafanyaje na ukijua ukimuuliza anakana balaaaa
 
Poleni wanandoa wa kizazi hiki, yaani mtu umeoa na familia yako tena yenye heshima lakini huku mtaani unagombaniwa na vinuka nanihii... pyuuu!!!
 
Charming lo halaf huu uzi tulijadili tareh.16.4.2014 nadhani na dio siku aliyofariki seki lo

Unazidi kumuongezea shigongo point za kujaza point. Halafu ina maana mpk jamaa linagombaniwa na vimeo nje huku wife alikua hajui au nae ilikua moto kwa moto? Aisee hebu nchekie nami ntafia kwa mchepuko upi basi
 
Hhhhhaaà wife atakua anajua kwani kuna siri sasa dunia hiii sema ndio hivyo aliamua kunyamaza kimyaaaa
Aa mengine sijui bana unaanza uchokoziii
Wa kwanza atakua udaku special anakop kila kitu humu n jamaa haachi hadi likes
 
Huyo seki anajipendaa kwelii akikazinguaa ka lulu tutamsikiaa chaliiiiiiii kama the great

Mhhh..nahizi tetesi zinazosemwa kwamba huyo jamaa kafariki zikiwa kweli...wewe utakua mrithi wa sheikh.....
 
Back
Top Bottom