HALELUYA MOSHI
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 2,121
- 1,204
huyu hata hajapata aibu...mke wa pedeshee yule wa bukoba ndo alipata aibu mzee alikufa muda mfupi baada ya kuzidiwa akiwa anabanjuana na kabinti kwenyr gari lakeWanaume bana...Mtu ana mke lakini anakitembezaOna sada aibu alomtia mkewe
huyu hata hajapata aibu...mke wa pedeshee yule wa bukoba ndo alipata aibu mzee alikufa muda mfupi baada ya kuzidiwa akiwa anabanjuana na kabinti kwenyr gari lake
yani unakua unalizwa na mengiIle ilikua balaaa duuuuu
yani unakua unalizwa na mengi
Utakoma na wewe, scandal ya uchawi imekuandama jamii forum, kila mtu anakuogopa sasa
Tena nilikuwa napenda kumchokoza huyu mtu, nimeacha kufanya hivyo kabisaaa.
Charming lo halaf huu uzi tulijadili tareh.16.4.2014 nadhani na dio siku aliyofariki seki lo
Unazidi kumuongezea shigongo point za kujaza point. Halafu ina maana mpk jamaa linagombaniwa na vimeo nje huku wife alikua hajui au nae ilikua moto kwa moto? Aisee hebu nchekie nami ntafia kwa mchepuko upi basi
Yaan mnanichekesha leo nyie lo
Tunakuogopaaaa???
Huyo seki anajipendaa kwelii akikazinguaa ka lulu tutamsikiaa chaliiiiiiii kama the great
Huyo seki anajipendaa kwelii akikazinguaa ka lulu tutamsikiaa chaliiiiiiii kama the great
Huyo seki anajipendaa kwelii akikazinguaa ka lulu tutamsikiaa chaliiiiiiii kama the great
We na naniii
ulitabiri hapa shogaaa!!!!!!!!!Huyo seki anajipendaa kwelii akikazinguaa ka lulu tutamsikiaa chaliiiiiiii kama the great
ulitabiri hapa shogaaa!!!!!!!!!