Kwenye moja ya magazeti ya udaku ya leo nimeona habari ya Lulu kumwaga million 1 na laki 4 kwenye birthday ya Kajala, halaf wengine wanamwita yeye tajiri mtoto. Jamani kumwaga 1.4 million tshs ndo ushakuwa tajiri mtoto?
Halafu Lulu nina mashaka nae sidhani kama anayo hata nyumba yake aliyojenga kwa pesa zake mwenyewe.