Lulu (Elizabeth Michael) amwaga minoti

Lulu (Elizabeth Michael) amwaga minoti

okoyoko

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
2,664
Reaction score
3,641
Kwenye moja ya magazeti ya udaku ya leo nimeona habari ya Lulu kumwaga million 1 na laki 4 kwenye birthday ya Kajala, halaf wengine wanamwita yeye tajiri mtoto. Jamani kumwaga 1.4 million tshs ndo ushakuwa tajiri mtoto?

Halafu Lulu nina mashaka nae sidhani kama anayo hata nyumba yake aliyojenga kwa pesa zake mwenyewe.
 
wewe umewahi kumwaga sh. ngapi?
 
Huyu binti mjane ana mbwembwee

Atakua keshapata jamaa mwingine

Juzi alipewa vichambo insta vya kufa mtu, aliambiwa atulize mshono asijifanye ana pesa wakati mtaji wake K, hana elimu wala pesa, anaendesha rav 4 wakati kuna watu wanasukuma ma range na wapo kimya, yani alipata vichambo dah kuna watu wanajua kutukana aisehh, nahis lulu alikuwa analia maana sio vichambo vile
 
Back
Top Bottom