Lulu (Elizabeth Michael): Sifanyi tena kosa, nikipata mimba nazaa tu!

Hivi huwa wanajuta kweli hawa watu.
Wanakuwa kama dala dala kila mtu anapanda
 
Hivi tangu atoke kuna movie kesha act au ndo anaigiza tu maisha kwenye social network
 
Hivi tangu atoke kuna movie kesha act au ndo anaigiza tu maisha kwenye social network

Halafu mi nashangaa sana waandishi,kila neno atakaloongea star hata kama haina maana lazima waifanye kubwa sana,sasa kama hatafanya kosa tena nayo ya kupublish kweli!!
 
Hivi unaposema Fulani ni star inamaanisha nini? maana kila msanii bongo anajiita star.
 
Jamii ipi, maana wengine ustar wao mwisho kimara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…