Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akifikaa tu puumbavu mnawashwaa eeeee hahahhhahhha
Yaan ana bahat tu binamu yangu umekufa na kuoza pale, vinginevyo asingeamin macho yake
Hivi huwa wanajuta kweli hawa watu.
Wanakuwa kama dala dala kila mtu anapanda
Hivi tangu atoke kuna movie kesha act au ndo anaigiza tu maisha kwenye social network
Hivi unaposema Fulani ni star inamaanisha nini? maana kila msanii bongo anajiita star.
We hupendii mbona hapo kila mtu anapendaa hahhhahhha
Hivi unaposema Fulani ni star inamaanisha nini? maana kila msanii bongo anajiita star.
Hivi unaposema Fulani ni star inamaanisha nini? maana kila msanii bongo anajiita star.
Hivi unaposema Fulani ni star inamaanisha nini? maana kila msanii bongo anajiita star.
Toto halikuvunjika ungo vizuri
jitu lenye skendo na.mambo ya kij**ga adharani
Tuone kama hatatoa mimba nyingine
Tuone kama hatatoa mimba nyingine