ney kush
JF-Expert Member
- Feb 16, 2012
- 1,407
- 916
,hakoboi pia?sasa ana matatizo makubwa zaidi, kumbe anasaga na anajionyesha hadharani. Jela ni mbaya.
Amefungua mashine huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
,hakoboi pia?sasa ana matatizo makubwa zaidi, kumbe anasaga na anajionyesha hadharani. Jela ni mbaya.
@ Mjuni Lwambo, umenichekesha mbona unamtania EMT, ni aliyevaa shati nyeupe yenye madoamadoa meusi.Yaani mkuu humjui?, ni yule aliyevaa suruali na blauzi ya maua maua.
Ina maana ndo yule aliyevaa ka kaptula kafupi kabisa!, Mkuu hujachanganya kweli?@ Mjuni Lwambo, umenichekesha mbona unamtania EMT, ni aliyevaa shati nyeupe yenye madoamadoa meusi.
Nasikia hakoboi, anatwanga na kuchekecha.,hakoboi pia?
Amefungua mashine huyu
Ina maana ndo yule aliyevaa ka kaptula kafupi kabisa!, Mkuu hujachanganya kweli?
Okora waitu!!!!!!!!!!!!!!, hapa sasa nimeweza kupambanua. Hivi kumbe haka kasichana ni kazurieeeeee.
Nyie endeleeni kunichanganya tuu.
Sina nia ya kumteka jamani.
Nina video yako
KyanaKyoMuhaya ndio anachanganya habari, mimi nilikuelekeza vizuri.Nyie endeleeni kunichanganya tuu.
Sina nia ya kumteka jamani.
Kwanza mkuu Mwasihini ni naomba nikukaribishe, Karibu sana JamiiForums.hakuna lolote! hakakuwa kajamzito wala nn? ila kalikuwa na tumbo kubwa
sio kuwa anatendwa kama picha zinavyoashiria?...anasaga... na anajionyesha hadharani.
Weka yutyubu tukamkamate sasa hivi.
Nina video yako
Weka yutyubu tukamkamate sasa hivi.