Kwa wale mashabiki wa Lulu mnaweza kuangalia clouds tv mahojiano ya Lulu.Anazungumzia maisha yake ya sasa baada ya kimya kirefu kidogo. Ila anaongea kiswa-english inakera sana, maana kiingereza chenyewe kibovu. mf. ..i used be like..., ...naji agree myself...like nyingi!!!!..imetokea like...
Aseme amepata wapi gari??,asiseme filamu coz tangu atoke jela ndan ya mwez mmoja anamilik gari,aka katoto hakaachi uongo tu,asiseme kaokoka ila aseme amebadili baadhi ya tabia
Aseme amepata wapi gari??,asiseme filamu coz tangu atoke jela ndan ya mwez mmoja anamilik gari,aka katoto hakaachi uongo tu,asiseme kaokoka ila aseme amebadili baadhi ya tabia