Chemiker
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 506
- 108
Kwa wale mashabiki wa Lulu mnaweza kuangalia clouds tv mahojiano ya Lulu.Anazungumzia maisha yake ya sasa baada ya kimya kirefu kidogo. Ila anaongea kiswa-english inakera sana, maana kiingereza chenyewe kibovu. mf. ..i used be like..., ...naji agree myself...like nyingi!!!! ..imetokea like...