Kassim Awadh
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 884
- 187
Ya lulu sitak kuyajadili,,,,hebu tukumbushane ya Ditto,,,,huyu mzee case yake inafananaje na ya LULU????
Ya lulu sitak kuyajadili,,,,hebu tukumbushane ya Ditto,,,,huyu mzee case yake inafananaje na ya LULU????
sidhani kama atarudi kwenye tasnia ya uigizaji tena.....
Ataweka akili yake shuleni sasa... Namshauri arudi form one kuanza upya!
Haka katoto wacha kapigwe mvua kadhaa kajifunze kaache tule tutabia twake tuchafu. Kakijifunza kataconcentrate na mambo ya maana katika maisha yake. Haka kasichana kakifungwa itasaidia tusichana twingine kuanza kuogopa kuingia kichwa kichwa kwenye mambo ya kikubwa!
Kwa hiyo sheria ipindishwe kwa ajili yake??
who is serikali and why soo!
haya ndo yaleyale ya kusamehe mafisadi
wezi wa power window wakichomwa ama kufungwa!
DISLIKE :nimekataa
Elizabeth Michael@Lulu ataachiwa huru kutoka kesi inayomkabili ya mauaji ya aliyekuwa mpenzi wake marehemu Kanumba. Kwa taarifa toka chanzo cha ndani sana,,Serikali imeamua kumsaidia/kumbeba kutokana na mazingira ya kifo chenyewe haswa kutosababishwa na men's rea ya mtendaji ambaye ni lulu na haitakuwa jambo la ajabu cause ilishafanya hivo hata kwa Ditopile(Rip). Kinachofanywa sasa ni kubuy time tu kabla ya DPP ku Nolle Prosecue. Malumbano haya ya umri,kukosekana kwa ushahidi wa moja kwa moja na ama hoja ya kuua bila kukusudia ndiyo utakuwa mwanya wa mbeleko.
wacha tu achiwe maana marehemu nae alichangia kujipelekea kufa hakukua na sababu ya kufungiana chumbani na kukatandika na panga katoto kadogo kama haka, agekachapa vibao na kufukuzilia mbali tu,ila alikakuza na kukafaidi mwenyewe.