Mama Bhoke
Member
- May 4, 2012
- 40
- 6
Wasi wasi wangu kama wasipomuacha kwa muda huko.Na kama alikuwa anampenda kweli marehemu,kanaweza kujidhuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi majibu ya mkemia mkuu?
Achana na ya Dito bwana...Ya lulu sitak kuyajadili,,,,hebu tukumbushane ya Ditto,,,,huyu mzee case yake inafananaje na ya LULU????
Duh,...hii mimi kwanza naisikia.hii nchi ina wapelelezi wa kujitegemea wengi!. Kumbe jamaa alimpiga kwa panga?
akitoka jela lulu namuoa, nantavaa helmet badala ya pete
:Yote hayo kujihami etc ni mitigation ya kumpunguzia adhabu wakati wa hukumu co NolleHakuna kesi hapa, hawawezi kuonyesha manslaughter. Na kuua wakati wa kujihami inaruhusiwa kisheria, wamekurupuka tu.