Lulu kuachiwa kwa Nolle

Lulu kuachiwa kwa Nolle

Wasi wasi wangu kama wasipomuacha kwa muda huko.Na kama alikuwa anampenda kweli marehemu,kanaweza kujidhuru
 
Kibongobongo: Kwa kumfunga Lulu tutakuwa tumepoteza mastaa wetu wawili. Bora aachiwe tu ili mambo yaende mbele. Mimi naamini tuachiwa kwa Lulu kutakuwa funzo kwa vijana wengi sana kuwa umakini katika maisha ni jambo muhimu sana.
 
Hakuna kesi hapa, hawawezi kuonyesha manslaughter. Na kuua wakati wa kujihami inaruhusiwa kisheria, wamekurupuka tu.
 
Tunasahau kwamba yaliyomkuta yule binti ni zao jingine la tamaa zetu wanaume na ku-take advantage ya mabinti wadogo warembo.....

kama sio abuse yetu askingefika pale, labda angekua shule
 
Hakuna kesi hapa, hawawezi kuonyesha manslaughter. Na kuua wakati wa kujihami inaruhusiwa kisheria, wamekurupuka tu.
:Yote hayo kujihami etc ni mitigation ya kumpunguzia adhabu wakati wa hukumu co Nolle
 
Kuna aja ya kureview sheria ya ndoa na umri wa utimamu kwani huyu lulu kwa marehemu alikuwa anafanya nini na kwa makubaliano yapi kwa nani?
 
Back
Top Bottom