Tetesi: Lulu Michael arudi shule

Tetesi: Lulu Michael arudi shule

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Tunaambiwa , baada ya muigizaji lulu Michael aka lulu , kumaliza diploma aliyokua anasomea, sasa hvi amejiunga kwenye chuo cha IFM akichukua degree . Safi sana lulu , beauty with brain , Mungu akutangulie
 
Uncle Magu kapitisha hili swalaa!? Tusije sikia IFM imefungiwa kudahili
 
Tunaambiwa , baada ya muigizaji lulu

Michael aka lulu , kumaliza diploma aliyokua anasomea, sasa hvi amejiunga kwenye chuo cha IFM akichukua degree . Safi sana lulu , beauty with brain , Mungu akutangulie
Baada ya Lulu kuhitimu diploma kutoka kile chuo kiitwacho "the Big house of inmates "?Kwa hiyo ameanza mafunzo mapya ya juu zaidi kwenye chuo cha "EFM " akiitwa "the best student of life " in higher faculty of motherhoodness"?Nimekuelewa halafu nimecheka sana. 😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏
 
alisoma kweli TPSC.... alifanya diploma ya human resources alianzia cheti.... alisoma na dogo wa braza angu pale
 
Back
Top Bottom