Tetesi: Lulu Michael arudi shule

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Tunaambiwa , baada ya muigizaji lulu Michael aka lulu , kumaliza diploma aliyokua anasomea, sasa hvi amejiunga kwenye chuo cha IFM akichukua degree . Safi sana lulu , beauty with brain , Mungu akutangulie
 
Uncle Magu kapitisha hili swalaa!? Tusije sikia IFM imefungiwa kudahili
 
Tunaambiwa , baada ya muigizaji lulu


Michael aka lulu , kumaliza diploma aliyokua anasomea, sasa hvi amejiunga kwenye chuo cha IFM akichukua degree . Safi sana lulu , beauty with brain , Mungu akutangulie
Baada ya Lulu kuhitimu diploma kutoka kile chuo kiitwacho "the Big house of inmates "?Kwa hiyo ameanza mafunzo mapya ya juu zaidi kwenye chuo cha "EFM " akiitwa "the best student of life " in higher faculty of motherhoodness"?Nimekuelewa halafu nimecheka sana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 

alisoma kweli TPSC.... alifanya diploma ya human resources alianzia cheti.... alisoma na dogo wa braza angu pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…