Ivi tar 17 ni j3 ijayo eeeenhe?ki-utani utani watabe wa kisutu utasikia kanyolewa nywele.
Binamu wivu tu, mbona we ukimsifia matola mi simpondi??..
Nilijua tu Lulu akae kimya kabisa
Haya magazeti huwatafutia biashara eti ukimtaka Lulu uwe milionea kama sio kwenda kujitafutia kufa mapema tu
Wameshashtuka sahivi njemba ikifika chumbani tu inavaa helmet
Ndio maana halaf nilisikia anataka kuolewaa,sinta alimtakia kila la kheri sasa sijui!blog ya sinta kuna watu humo wana mipasho sijui wana kamusi za matusi
Bora tu aolewe kuliko kuzagaa zagaa mtaani
akiolewa mwezi mmoja atatulia halafu atarudia kama zamani
kama aunt Ezekiel tu
Awaachie akin a Irene uwoya
Awaachie akin a Irene uwoya
uzuri wa huyu binti Uko wapi.....?
mbona amebinuka hivi??
Ulitaka abinukeje mbona hapo kajaribishia tu najua ushapeleka mawazo mbali,kua milionea ujilie vitu si umeona bandiko au?