Lulu Michael: Happy Velentine's Day

Lulu Michael: Happy Velentine's Day

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ningependa nikuone nikupe vyote vyangu nikupe chochote, unachotaka chochote upate lakini sina namna ya kukupata.

HAPPY VALENTINE Lulu Michael.

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • 1392366095169.jpg
    1392366095169.jpg
    63.9 KB · Views: 2,090
  • 1392366137205.jpg
    1392366137205.jpg
    59.8 KB · Views: 2,121
  • 1392366206990.jpg
    1392366206990.jpg
    51.6 KB · Views: 2,118
  • 1392366229351.jpg
    1392366229351.jpg
    57.4 KB · Views: 2,105
Ivi tar 17 ni j3 ijayo eeeenhe?ki-utani utani watabe wa kisutu utasikia kanyolewa nywele.
 
Nilijua tu Lulu akae kimya kabisa
Haya magazeti huwatafutia biashara eti ukimtaka Lulu uwe milionea kama sio kwenda kujitafutia kufa mapema tu
 
Nilijua tu Lulu akae kimya kabisa
Haya magazeti huwatafutia biashara eti ukimtaka Lulu uwe milionea kama sio kwenda kujitafutia kufa mapema tu

Binamu wivu tu, mbona we ukimsifia matola mi simpondi??..
 
Binamu wivu tu, mbona we ukimsifia matola mi simpondi??..

Unanitafutia makubwa kwa mzee wa full stress v.day itakua mbaya kwa lipi nimsifie nimemwambia ashiriki BBA ntampigia kura wallah
 
Nilijua tu Lulu akae kimya kabisa
Haya magazeti huwatafutia biashara eti ukimtaka Lulu uwe milionea kama sio kwenda kujitafutia kufa mapema tu

Wameshashtuka sahivi njemba ikifika chumbani tu inavaa helmet
 
Wameshashtuka sahivi njemba ikifika chumbani tu inavaa helmet

Ndio maana halaf nilisikia anataka kuolewaa,sinta alimtakia kila la kheri sasa sijui!blog ya sinta kuna watu humo wana mipasho sijui wana kamusi za matusi
 
Ndio maana halaf nilisikia anataka kuolewaa,sinta alimtakia kila la kheri sasa sijui!blog ya sinta kuna watu humo wana mipasho sijui wana kamusi za matusi

Bora tu aolewe kuliko kuzagaa zagaa mtaani
akiolewa mwezi mmoja atatulia halafu atarudia kama zamani
kama aunt Ezekiel tu
 
Back
Top Bottom