warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Muigizaji maarufu bongo , ambaye pia linapokuja suala la fashion huwa hakosei, kupitia ukurasa wake wa instagram , ametangaza ujio wa collection yake mpya ambayo ameipa jina la EM collection , ambapo ametangaza kuzindua duka lake jipya la nguo hivi karibuni.View attachment 1134297