Lulu Michael kufungua Duka la nguo

Lulu Michael kufungua Duka la nguo

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Muigizaji maarufu bongo , ambaye pia linapokuja suala la fashion huwa hakosei, kupitia ukurasa wake wa instagram , ametangaza ujio wa collection yake mpya ambayo ameipa jina la EM collection , ambapo ametangaza kuzindua duka lake jipya la nguo hivi karibuni.View attachment 1134297
 
Harusi imebuma baada ya jamaa kumega?
 
Wanazengo msimkatishe tamaa... Si bora huyo anejitafutia riziki kuliko wadangaji
 
Back
Top Bottom