DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Tanzania hatujaanza kulipa hela wapumbavu.wanakulipa sh ngapi? maana kwenye umbea hadi sasa umeshatumia milion 5 za bando
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania hatujaanza kulipa hela wapumbavu.wanakulipa sh ngapi? maana kwenye umbea hadi sasa umeshatumia milion 5 za bando
Ohoooo!!!Anataka kum force Majizo amuoe haraka maana wale kina Dozen wanamnyima usingizi, ila nae ana roho aisee haogopi kuna wakati nae ataambiwa nyuma geuka?! maana nasikia mtu akizoea haachi.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Maisha ya usingle mazuri
Mkuu umeongea kimafumbo hapo akizoea kitu gani hicho?Anataka kum force Majizo amuoe haraka maana wale kina Dozen wanamnyima usingizi, ila nae ana roho aisee haogopi kuna wakati nae ataambiwa nyuma geuka?! maana nasikia mtu akizoea haachi.