Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kanivunja moyo, mi natoka chanika had mbagala kutafuta udaku niwaletee humu halaf anasema nime copy, yani binamu asipoleta ushahid kuhus hii thread atanibeba Leo.
We jali yako tupe habari za mjinii siee hivi sinta ana mimba au uzushii
Mtazamo wako tu
Tumbo litaongea tu kama ipo, c unajua haijifichi? Ila najua hasimu wake kimambi kajifungua juzi mtoto wa kiume, mange ananifuraishag anavyojifanyag Kim kardashian anajua dunia nzima inamuangalia, maana ana mbwembwe hatar kila kitu anaweka mtandaon
Haha na wewe umeliona hilo. Ata akienda chooni lazima atundike kwenye mitandao
Darasa LA pili ¿¿¿
Jua kua ulikua na thread za uhakika before ila uku unakoelekea naona una-copy Team ukweli na uwazi nakushauri baki na identity yako hapa ni JF na kule ni Instagram najua unajua nazungumzia nini wengine tunapita kotekote ivo inaleta uvivu kuona kitu kimoja sehenu tofauti wewe endelea kutuletea uzi wa aina yako kama zamani ulikua una-sound poa sana.
Sio kweli usidhani peke yako unaijua hiyo account. Hata me ni mmoja wapo wafollowets wa team ukweli na uwazi hiyo habari haipo ukiangalia kule post ya mwisho ni ile ya Patcho Mwamba
Ahsante kwa kuthibitisha hilo binamu. Ila team ukweli ni kiboko yao aiseeh ni homa ya jiji kwa sasa , shigongo tupa Kule , ninachompendea anaweza kuibuka na scandal ya msanii usiyemtegemea mda wowote , sio wengine kila siku wema na diamond. Watu wana haha kumjua , yule shida tupuu
Jua kua ulikua na thread za uhakika before ila uku unakoelekea naona una-copy Team ukweli na uwazi nakushauri baki na identity yako hapa ni JF na kule ni Instagram najua unajua nazungumzia nini wengine tunapita kotekote ivo inaleta uvivu kuona kitu kimoja sehenu tofauti wewe endelea kutuletea uzi wa aina yako kama zamani ulikua una-sound poa sana.
wewe kama umeona wengne hatujaona na wewe si uanzishe wa kwako kwani lazma uje huku vpi wewe
Namuonaga mkuu, watu wanampotezea hakomi hadi uko leba naona kajipiga picha, ana Ji celebritisha angalau magazet ya shigongo yamuone lakini wapi, yeye anajijua anapenda ustaa halaf anagombana na shigongo anategemea nini
Nimemuona etii ahsante sana hii hospitali nzuri ndio maana mastaa hua wanakuja kujifunguliaa hapaa hahahhha hiv kwanin shigongo hua hamtoi kwenye magazetiiii ila kajifunguas hospital nzuri mume anajaliiii
Sidhani kama yanakuhusu haya!
Hatuzungumzii usafi apa, we soma uchape lapa