Lulu Michael

Yaani kanivunja moyo, mi natoka chanika had mbagala kutafuta udaku niwaletee humu halaf anasema nime copy, yani binamu asipoleta ushahid kuhus hii thread atanibeba Leo.

We jali yako tupe habari za mjinii siee hivi sinta ana mimba au uzushii
 
We jali yako tupe habari za mjinii siee hivi sinta ana mimba au uzushii

Tumbo litaongea tu kama ipo, c unajua haijifichi? Ila najua hasimu wake kimambi kajifungua juzi mtoto wa kiume, mange ananifuraishag anavyojifanyag Kim kardashian anajua dunia nzima inamuangalia, maana ana mbwembwe hatar kila kitu anaweka mtandaon
 
Haha na wewe umeliona hilo. Ata akienda chooni lazima atundike kwenye mitandao
 
Haha na wewe umeliona hilo. Ata akienda chooni lazima atundike kwenye mitandao

Namuonaga mkuu, watu wanampotezea hakomi hadi uko leba naona kajipiga picha, ana Ji celebritisha angalau magazet ya shigongo yamuone lakini wapi, yeye anajijua anapenda ustaa halaf anagombana na shigongo anategemea nini
 
Sio kweli usidhani peke yako unaijua hiyo account. Hata me ni mmoja wapo wafollowers wa team ukweli na uwazi hiyo habari haipo ukiangalia kule post ya mwisho ni ile ya Patcho Mwamba
 
Sio kweli usidhani peke yako unaijua hiyo account. Hata me ni mmoja wapo wafollowets wa team ukweli na uwazi hiyo habari haipo ukiangalia kule post ya mwisho ni ile ya Patcho Mwamba

Ahsante kwa kuthibitisha hilo binamu. Ila team ukweli ni kiboko yao aiseeh ni homa ya jiji kwa sasa , shigongo tupa Kule , ninachompendea anaweza kuibuka na scandal ya msanii usiyemtegemea mda wowote , sio wengine kila siku wema na diamond. Watu wana haha kumjua , yule shida tupuu
 
Yeah ye kila mtu anampaka juzijuzi kamponda Nancy Sumari na Irene Kiwia lol!
 
wewe kama umeona wengne hatujaona na wewe si uanzishe wa kwako kwani lazma uje huku vpi wewe
 
Namuonaga mkuu, watu wanampotezea hakomi hadi uko leba naona kajipiga picha, ana Ji celebritisha angalau magazet ya shigongo yamuone lakini wapi, yeye anajijua anapenda ustaa halaf anagombana na shigongo anategemea nini

Nimemuona etii ahsante sana hii hospitali nzuri ndio maana mastaa hua wanakuja kujifunguliaa hapaa hahahhha hiv kwanin shigongo hua hamtoi kwenye magazetiiii ila kajifunguas hospital nzuri mume anajaliiii
 
Alizinguana na shigongo ndo maana ina mcost , akaombe msamaha tu maana anapenda sana ustaa, eti wanajifunguliaga mastaa duh anahangaika ila wapi , huyo ataishia kuandikwa na akina team ukweli na uwazi na akina warumi
 
Last edited by a moderator:
Hatuzungumzii usafi apa, we soma uchape lapa

Binamu bwana achana nao hao wasituharibie ladha.....

Huyo mtoto kuna kigogo mmoja hapa ofisini aliwahi kuwaka akisema kuna siku alimuomba msaada kwakuwa kule anakoishi mama yake ni jirani na dada ya huyu kigogo basi mtoto si kumng'ang'ania ila jamaa alimpa jibu moja tu kuwa yeye bado ni mtoto sana kuyajua maisha atulie dunia haina huruma nasikia binti akapoa........

Hata hao waheshimiwa wanafokewaga na bwanamkubwa waache kuharibu watoto.......

Binamu hao wanaokuchokoza humu usipoteze mda nao.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…