Lulu: Mimi ni Mchamungu mwenye matarajio makubwa maishani

geometry

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
466
Reaction score
358
"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "
Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.
 
Daraja la uchamungu unaweza kulifikia ikiwa utamcha mungu kwa dhati ya nafsi yako, lakini leo unasema wewe mcha mungu kesho unasema goli lako huwa halilali na njaa! aaah
 
Nadhan baadhi ya vitu huwa vinaongezewa na kutiwa chumvi ila bado huyu dogo ananishangaza sana!
 
"Salute segerea inawafanya watu wanyooke" mwisho wa kunukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…