geometry
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 466
- 358
"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-Thats Lulu "
Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael Lulu aliyasema hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.
Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael Lulu aliyasema hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.