Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Haloooo kumbe soko lina mbinu nyingi hivi? 🤣🤣🤣

Ila Misa mjanja sana, aliona hapa anakaribia kutolewa sokoni na madogo wa namba E akajiongeza kimataifa 🤣🤣🤣

Na yule shemeji yetu Sowax sijui wameshaachana? Anaonekana alimpenda masikini!
 
Yule ni mteja tu kama wateja wengine ila kifurushi chake ni kikubwa. Na anataka awekwe wazi ndio maana anawekwa wazi. Tofauti na madon ambao pesa wanatoa ila wanataka wafichwe 🤣🤣🤣.

Usitishwe na kiki za mitandaoni, unaweza kuta ni mbinu za kupanua soko na kupandisha bei.

Ile "fake" expensive lifestyle ya mtandani inatumika kupandisha bei ya kifurushi 🤣🤣🤣. Zile ni mbinu tu za biashara 🤣🤣

Namba E wa mwaka 2000, wanatikisa mno kwa sasa. Bila kubadilisha mbinu. Wakongwe watakufa njaa 🤣🤣
 
Vina muda basi
 
Aiseeee leo umenifungia siku mujarab kabisa!

Mimi nilidhani wako serious wanataka kuoana kweli maana penzi lilipamba moto kwelikweli!
Jamaa akaingia mpaka nyumbani kwa mama na mbwembwe kibao za maua yenye maokoto!

Ghafla tunashangaa kimya! Juzi tu hapo kwenye birthday yake wadau wamemsumbua jamaa mpaka kafunga comments!

Halooo, soko la moto sana.
Heri sisi tulioamua kupambana na mavumbi ya maofisini hatuna hekaheka.
 
Soko ndio linawatupa mkono mashangazi wetu,wanategemea nguvu ya filter, makeup, vigodoro, waganga na surgery za uturuki. Sasa soko Linaanza kupokea vitoto vya 2000 au wanaitwa namba E. Mtoto mdogo, tako KUUUUBWA 🤣🤣🤣.

2024 mtashuhudia makubwa jinsi mashangazi wengi wa Instagram watakavyo lia njaa na kupanick 🤣🤣🤣. Hapo mange atapiga hela mwaka 2024 mpaka achanganyikiwe 🤣
 
kanumba alikuwa anakuza vipaji shekhe
Lulu sijapishana nae sana umri mi nikiwa mtoto na yeye nilikua namuona mtoto kwenye maigizo ya ITV lakini nikiwa mdogo nikaanza kuskia stori za jamaa anamkunja huyo demu na hata kanumba alivyokufa mi nilikua sijafika miaka 18 nafikiri na Lulu nae alikua hajafika miaka 18 chakusikitisha unaambiwa tayari kanumba alikua amemfanya kama mke

Kwa upande mwingine Kanumba amekosea sana hafai kuigwa alikua ni kibaka maarufu aliechekewa na jamii
 
kama mama mzazi wake alikuwa hazungumzi,basi walimwengu ndo wakaamua kujichukulia mzeeiya
asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu.na huyo kanumba ndo ulimwengu wenyewe sasa
acha kiba nae ajipakulie tu
 
Hili halishangazi Mdg wangu wangu, hasa kwa hawa Wasanii wa Bongo

Halafu sikuhizi Ndoa imekuwa mahali pa mchezo

Watu wawili wanakubaliana kabisa kuoa, yaani Mimi naoa na Wewe olewa na Mwanaume flani kimaslahi tu lakini tutaendeleza mapenzi yetu kama kawaida

Anyway, Steven Kanumba apumzike kwa Amani huko alipo.
 
UMBEA Usiozingatia Privacy ya mtu ni UJUHA!

Mleta Mada akiambiwa atoe ushahidi wa anachokisema, atatoa ushahidi?

HUMU JF HATUJUANI ILA HAIMAANISHI KUWA UNAEMUONGELEA VIBAYA HAYUPO HUMU.

HESHIMA NI JAMBO DOGO LAKINI LINA MAANA KUBWA SANA.
Ukishakuwa Star / Celebrity maana yake umekubali kufuatiliwa na kusemwa

Maisha yako yanakuwa midomoni na machoni pa hadhira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…