Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haloooo kumbe soko lina mbinu nyingi hivi? 🤣🤣🤣Matajiri na Madon wengi wa kanda ya ziwa ni wasukuma na kama inavyojulikana wasukuma wanapenda rangi nyeupe. Kwa hiyo lazima madon wa kisukuma wampe hela kutokana na rangi 🤣🤣. Pia ile kudate na diamond na kuzaa naye ilimsaidia kuwa maarufu na kupanua soko(kudate wasanii na watu maarufu pia ni mbinu ya kujitangaza....ohooo). Pia kingereza kinamsaidia kimataifa.
Madon wenye pesa huwa wanapenda huduma nzuri na privacy. Hapo ndio anashinda wengine. Sasa hivi kashakuwa wa kimataifa. Ila kama don akitoa dau kubwa, atapata huduma, kuna dalali wake ana connection za kutosha 🤣🤣🤣
Hizo ni story za zamani. Za sasa sizijui. Nishatokaga kanda ya ziwa. Sasa hivi chawa wanawatafutia madon matoto ya 2000, toto dogo, tako kubwa 🤣🤣🤣. Ndio maana wadada wa dar wana hali ngumu. Hawa wa 2000 wanaliteka soko kwa kasi ya 5G 🤣
Yule ni mteja tu kama wateja wengine ila kifurushi chake ni kikubwa. Na anataka awekwe wazi ndio maana anawekwa wazi. Tofauti na madon ambao pesa wanatoa ila wanataka wafichwe 🤣🤣🤣.Haloooo kumbe soko lina mbinu nyingi hivi? 🤣🤣🤣
Ila Misa mjanja sana, aliona hapa anakaribia kutolewa sokoni na madogo wa namba E akajiongeza kimataifa 🤣🤣🤣
Na yule shemeji yetu Sowax sijui wameshaachana? Anaonekana alimpenda masikini!
Vina muda basiView attachment 2844883View attachment 2844884Yes, ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Ali Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ mapenzini, enzi na enzi!
Mnakumbuka wakati msiba wa Kanumba unatokea kulisemekana kutokea ugomvi uliopelekea Lulu kumsukuma Kanumba ndio kuanguka na kufariki?
Chanzo ni simu kutoka kwa Ali Kiba kwenda kwa Lulu.
Lulu alienda kwa Kanumba waliyekuwa na miadi naye, na in fact yule (Kanumba) ndiye alikuwa mpenzi rasmi, huku Ali Kiba akila kisela kama kawaida, ila kwa mapenzi mazito!
Basi… ndipo Lulu kusikika akiongea kwa simu na mwanaume kimahaba, alipotakiwa kusema ni nani ndipo ukazuka ugomvi ulioliacha taifa na simanzi!
PENZI NI ZITO!
Jamani mnaambiwa hawa watu ni wanapendana kuliko mnavyoweza kufikiri! Yale mahaba ya Vee & Rotimi hayaoni ndani!
Na wanavyoyaendesha mapenzi yao wanajua wenyewe! Maana kila mmoja ni mkavu hadharani, mwanaume akatangulia kuoa, mwanamke nae akaolewa!
Ila wakutanapo moto huwaka! Nyasi huchanika!
Ni wanapendana hakuna mfano!
Najua mtajiuliza kama mimi nilivyojiuliza wakati nahakiki huu ubuyu, inawezekana vipi?
Yule Majizo ni mume rasmi tu wa hadhira, na huku Ali akiwa ameshatengana na mkewe Amina (japo talaka bado) hivi sasa akiwa na Babe Sherie, kote huko wanazuga tu.
Moyo wa Lulu uko kwa Ali Kiba, Ali nae Lulu ndio mwanamke wa maisha yake!
ACHANA NA SALAMA…
Ndio, Lulu huwa anasagana na Salama Jabir, Ece Jay… huyohuyo! Kwa kitambo tu.
Na huwa ni pale Lulu anapokuwa na mastress yake anayopewa na mumewe anayetuhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja zaidi na mtangazaji maarufu kutokea Arusha, huwa anaenda zake kwa Salama wanatoana cheche stress zake zikipoa anarudi kuendelea na ndoa yake!
ACHANA NA NDAMA MUTOTO YA NG’OMBE!
Si mnaonaga Lulu anavyotuchamba “Catch the flight not the feelings “?
Ndio hivyo, akishapewa stress zake huko na mumewe au akiwa na shida zake za hela (Majizo bakhili)anamtafuta mubaba wake, anampandia ndege Ndama anaenda kutulizwa na kuondoka na maokoto yake.
ALI KIBA NDIO ZAIDI
Achana na hao woooote! Hakuna aliyeweza kusuuza moyo wa Lulu kama Ali Kiba. Ali ndio kiboko ya wote, mwanaume wa maisha yake!
Wanapeana nini? Sitaki kusema zaidi, ila wote inasemekana ni mahodari wa mchezo mbaya, mchezo haramu uliokaripiwa kwa karipio kali katika vitabu vyote vya dini! Mchezo ulioangamiza kila kiumbe katika mji ulioshindikana kuishi kwa kiumbe chochote hadi hii leo!
Hayo ndio maisha ya mastaa na vimbwanga vyao!
Leo team kataa ndoa wataondoka na ushindi…
Wasalaam,
Nifah.
Aiseeee leo umenifungia siku mujarab kabisa!Yule ni mteja tu kama wateja wengine ila kifurushi chake ni kikubwa. Na anataka awekwe wazi ndio maana anawekwa wazi. Tofauti na madon ambao pesa wanatoa ila wanataka wafichwe 🤣🤣🤣.
Usitishwe na kiki za mitandaoni, unaweza kuta ni mbinu za kupanua soko na kupandisha bei.
Ile "fake" expensive lifestyle ya mtandani inatumika kupandisha bei ya kifurushi 🤣🤣🤣. Zile ni mbinu tu za biashara 🤣🤣
Namba E wa mwaka 2000, wanatikisa mno kwa sasa. Bila kubadilisha mbinu. Wakongwe watakufa njaa 🤣🤣
Tupe mbinu tukapstikane woteMimi pia nilikuwa team kataa ndoa ujue? Tena pro kabisa.
Ila sasa hivi nimepatikana, nyie hamjapatikana bado.
Soko ndio linawatupa mkono mashangazi wetu,wanategemea nguvu ya filter, makeup, vigodoro, waganga na surgery za uturuki. Sasa soko Linaanza kupokea vitoto vya 2000 au wanaitwa namba E. Mtoto mdogo, tako KUUUUBWA 🤣🤣🤣.Aiseeee leo umenifungia siku mujarab kabisa!
Mimi nilidhani wako serious wanataka kuoana kweli maana penzi lilipamba moto kwelikweli!
Jamaa akaingia mpaka nyumbani kwa mama na mbwembwe kibao za maua yenye maokoto!
Ghafla tunashangaa kimya! Juzi tu hapo kwenye birthday yake wadau wamemsumbua jamaa mpaka kafunga comments!
Halooo, soko la moto sana.
Heri sisi tulioamua kupambana na mavumbi ya maofisini hatuna hekaheka.
kanumba alikuwa anakuza vipaji shekheKanumba alianza kumbaka lulu akiwa mdogo sijui sheria ya miaka 30 jela haikuwepo
Lulu sijapishana nae sana umri mi nikiwa mtoto na yeye nilikua namuona mtoto kwenye maigizo ya ITV lakini nikiwa mdogo nikaanza kuskia stori za jamaa anamkunja huyo demu na hata kanumba alivyokufa mi nilikua sijafika miaka 18 nafikiri na Lulu nae alikua hajafika miaka 18 chakusikitisha unaambiwa tayari kanumba alikua amemfanya kama mkekanumba alikuwa anakuza vipaji shekhe
kama mama mzazi wake alikuwa hazungumzi,basi walimwengu ndo wakaamua kujichukulia mzeeiyaLulu sijapishana nae sana umri mi nikiwa mtoto na yeye nilikua namuona mtoto kwenye maigizo ya ITV lakini nikiwa mdogo nikaanza kuskia stori za jamaa anamkunja huyo demu na hata kanumba alivyokufa mi nilikua sijafika miaka 18 nafikiri na Lulu nae alikua hajafika miaka 18 chakusikitisha unaambiwa tayari kanumba alikua amemfanya kama mke
Kwa upande mwingine Kanumba amekosea sana hafai kuigwa alikua ni kibaka maarufu aliechekewa na jamii
Nimesoma comment zote nimegundua wasanii wanafir@na sana nafuu ya mtaani.
I dont know what is wrong with the PMs nowadays, I cant use them.Absolutely yes 😊
Thanks.
Hata Madam Rita alimpataga Mzee Mengi kwasababu hiyo ya kwenda Gym na K Lynn yeye mitego yake ilikuwa kwenye mahoteli ya nyota tano tu this was long time ago.Unganisha dots kwa nini slayqueen wengi siku hizi wanapost wapo gym?
Ile ni indirect marketing strategy 🤣🤣
Hili halishangazi Mdg wangu wangu, hasa kwa hawa Wasanii wa BongoView attachment 2844883View attachment 2844884Yes, ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Ali Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ mapenzini, enzi na enzi!
Mnakumbuka wakati msiba wa Kanumba unatokea kulisemekana kutokea ugomvi uliopelekea Lulu kumsukuma Kanumba ndio kuanguka na kufariki?
Chanzo ni simu kutoka kwa Ali Kiba kwenda kwa Lulu.
Lulu alienda kwa Kanumba waliyekuwa na miadi naye, na in fact yule (Kanumba) ndiye alikuwa mpenzi rasmi, huku Ali Kiba akila kisela kama kawaida, ila kwa mapenzi mazito!
Basi… ndipo Lulu kusikika akiongea kwa simu na mwanaume kimahaba, alipotakiwa kusema ni nani ndipo ukazuka ugomvi ulioliacha taifa na simanzi!
PENZI NI ZITO!
Jamani mnaambiwa hawa watu ni wanapendana kuliko mnavyoweza kufikiri! Yale mahaba ya Vee & Rotimi hayaoni ndani!
Na wanavyoyaendesha mapenzi yao wanajua wenyewe! Maana kila mmoja ni mkavu hadharani, mwanaume akatangulia kuoa, mwanamke nae akaolewa!
Ila wakutanapo moto huwaka! Nyasi huchanika!
Ni wanapendana hakuna mfano!
Najua mtajiuliza kama mimi nilivyojiuliza wakati nahakiki huu ubuyu, inawezekana vipi?
Yule Majizo ni mume rasmi tu wa hadhira, na huku Ali akiwa ameshatengana na mkewe Amina (japo talaka bado) hivi sasa akiwa na Babe Sherie, kote huko wanazuga tu.
Moyo wa Lulu uko kwa Ali Kiba, Ali nae Lulu ndio mwanamke wa maisha yake!
ACHANA NA SALAMA…
Ndio, Lulu huwa anasagana na Salama Jabir, Ece Jay… huyohuyo! Kwa kitambo tu.
Na huwa ni pale Lulu anapokuwa na mastress yake anayopewa na mumewe anayetuhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja zaidi na mtangazaji maarufu kutokea Arusha, huwa anaenda zake kwa Salama wanatoana cheche stress zake zikipoa anarudi kuendelea na ndoa yake!
ACHANA NA NDAMA MUTOTO YA NG’OMBE!
Si mnaonaga Lulu anavyotuchamba “Catch the flight not the feelings “?
Ndio hivyo, akishapewa stress zake huko na mumewe au akiwa na shida zake za hela (Majizo bakhili)anamtafuta mubaba wake, anampandia ndege Ndama anaenda kutulizwa na kuondoka na maokoto yake.
ALI KIBA NDIO ZAIDI
Achana na hao woooote! Hakuna aliyeweza kusuuza moyo wa Lulu kama Ali Kiba. Ali ndio kiboko ya wote, mwanaume wa maisha yake!
Wanapeana nini? Sitaki kusema zaidi, ila wote inasemekana ni mahodari wa mchezo mbaya, mchezo haramu uliokaripiwa kwa karipio kali katika vitabu vyote vya dini! Mchezo ulioangamiza kila kiumbe katika mji ulioshindikana kuishi kwa kiumbe chochote hadi hii leo!
Hayo ndio maisha ya mastaa na vimbwanga vyao!
Leo team kataa ndoa wataondoka na ushindi…
Wasalaam,
Nifah.
Hiyo ID yako imenifurahisha sanaElizabeth Michael and two others ( Salama Jabir@ Ali Kiba) versus Nifah and Jamii Forums Media.
In the Resident Magistrate Court of Dar Es Salaam at Kisutu.
Ukishakuwa Star / Celebrity maana yake umekubali kufuatiliwa na kusemwaUMBEA Usiozingatia Privacy ya mtu ni UJUHA!
Mleta Mada akiambiwa atoe ushahidi wa anachokisema, atatoa ushahidi?
HUMU JF HATUJUANI ILA HAIMAANISHI KUWA UNAEMUONGELEA VIBAYA HAYUPO HUMU.
HESHIMA NI JAMBO DOGO LAKINI LINA MAANA KUBWA SANA.