Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Ukitulia tuletee ubuyu wa x wa Dr Mwaka yule Queen yupo vizuri sana jamani nani anakaa pale?
Au tumpe babu yetu Grahams amalizie pensheni yake
Alafu yule anaonekana mtu wa shughuli, asije kuniua bure Babu yenu.

Kwa umri huu sina ujanja wa kuvumilia mwendo mrefu wa kujirudia rudia 😜🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Tulia wewe mgomba haushindwi na mkungu wake....mtapelekana mdo mdo huoni shape lile mtoto amekamilika kila idara
 
Ukitulia tuletee ubuyu wa x wa Dr Mwaka yule Queen yupo vizuri sana jamani nani anakaa pale?
Au tumpe babu yetu Grahams amalizie pensheni yake
Yule nikitaka hata leo tu taarifa zake zinajaa mkononi.
Yani nipo na chanzo matata mjini, hakuna habari ambayo siwezi kuipata.

Na hapa nina maubuyu kibaoooo, wanaolalamika mimi kutaka kuvunja ndoa ya muhusika wa hapa sijui nikiweka hizo nyingine itakuwaje!
 
Tulia wewe mgomba haushindwi na mkungu wake....mtapelekana mdo mdo huoni shape lile mtoto amekamilika kila idara
Hahahaha......................kama nilitaka kulizwa na yule binti miaka ile ya 1993 kwa kuanza kuimba na mic yangu, ndiyo iwe miaka hii si Babu yenu Presha na Kisukari kitanipanda?

Kuweni na huruma na Wazee 😢
 
Swali fupi lakini lenye wingi wa mengi,
Kwamba Yule jamaa aliyewaibua Miso Misondo na CEO wa Efuuem anamegewa? Kama ni ivo Ndoa ni unafiki sana!
We miso Misondo umepigaje hapo.......?
 
Achana nao we tuletee hizo ndoa kama kuvunjika zitavunjika zenyewe bwanaa
 
Nifah huu ubuyu wako umenifanya nimkumbuke Warumi. (Rip)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…