MEGATRONE
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 1,140
- 2,141
Mtoto mdogo tako kubwa😂😂🙌🏽🙌🏽Soko ndio linawatupa mkono mashangazi wetu,wanategemea nguvu ya filter, makeup, vigodoro, waganga na surgery za uturuki. Sasa soko Linaanza kupokea vitoto vya 2000 au wanaitwa namba E. Mtoto mdogo, tako KUUUUBWA 🤣🤣🤣.
2024 mtashuhudia makubwa jinsi mashangazi wengi wa Instagram watakavyo lia njaa na kupanick 🤣🤣🤣. Hapo mange atapiga hela mwaka 2024 mpaka achanganyikiwe 🤣