Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Heshimu faragha za wake za watu ndoa yake ikivunjika watoto wake wakikosa malezi ya pande mbili utajisikiaje.
Mbona wewe unaliwa kiboga na ... Nawe tukuanike hapa.
Huyu mtu ana ndugu,wazazi,mawifi,mashemeji wanapita humu wanajisikiaje
 
Tofautisha mahaba na ngono siku zote mwizi huwa mtamu thus Cha mtu kitamu,ukikihalalisha hakina ladha Tena.
Mapenzi ya mme na mke hayawezi kuwa matamu kama ya mchepuko sababu yanaongozwa na ibilisi.
 
Huko mwishon kbsa nkam sio kweli , kwamba wanafany michozo ilikatazwa na vtabu vya dini
 
Dah kwa hakika hakuna anayeweza ng'amua wanawake wanataka nini exactly!!
Nina uhakika mchizi CEO mzigo anapiga vzr hadi dogo maji anaita Mma, mapesa anayo ya kutosha.....ninyi wanawake mnataka nini?
Labda karma sijui, au Jizo ana bahati mbaya kwenye haya mambo yetu ama sijui ndiyo kachagua yawe hivi, ila hayamwendei poa.

Unajua alimpa mimba Hamisa huku akiwa mapenzini na rafiki wa Hamisa, tena rafiki kweli kama ndugu. Na penzi lao likafia hapo, akimwachia Hamisa.

Lakini, baadaye alichokuja kufanyiwa na Hamisa ni zaidi kudhalilishwa.

Na aliingia mapenzini na Nargis huku akijua wazi ni mchumba wa mshikaji wake, Masoud Kipanya. Kilichompata kwa Nargis mnakijua.

Ova
 
View attachment 2844883View attachment 2844884Yes, ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Ali Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ mapenzini, enzi na enzi!

Mnakumbuka wakati msiba wa Kanumba unatokea kulisemekana kutokea ugomvi uliopelekea Lulu kumsukuma Kanumba ndio kuanguka na kufariki?
Chanzo ni simu kutoka kwa Ali Kiba kwenda kwa Lulu.

Lulu alienda kwa Kanumba waliyekuwa na miadi naye, na in fact yule (Kanumba) ndiye alikuwa mpenzi rasmi, huku Ali Kiba akila kisela kama kawaida, ila kwa mapenzi mazito!

Basi… ndipo Lulu kusikika akiongea kwa simu na mwanaume kimahaba, alipotakiwa kusema ni nani ndipo ukazuka ugomvi ulioliacha taifa na simanzi!

PENZI NI ZITO!
Jamani mnaambiwa hawa watu ni wanapendana kuliko mnavyoweza kufikiri! Yale mahaba ya Vee & Rotimi hayaoni ndani!

Na wanavyoyaendesha mapenzi yao wanajua wenyewe! Maana kila mmoja ni mkavu hadharani, mwanaume akatangulia kuoa, mwanamke nae akaolewa!
Ila wakutanapo moto huwaka! Nyasi huchanika!
Ni wanapendana hakuna mfano!

Najua mtajiuliza kama mimi nilivyojiuliza wakati nahakiki huu ubuyu, inawezekana vipi?
Yule Majizo ni mume rasmi tu wa hadhira, na huku Ali akiwa ameshatengana na mkewe Amina (japo talaka bado) hivi sasa akiwa na Babe Sherie, kote huko wanazuga tu.
Moyo wa Lulu uko kwa Ali Kiba, Ali nae Lulu ndio mwanamke wa maisha yake!

ACHANA NA SALAMA…
Ndio, Lulu huwa anasagana na Salama Jabir, Ece Jay… huyohuyo! Kwa kitambo tu.
Na huwa ni pale Lulu anapokuwa na mastress yake anayopewa na mumewe anayetuhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja zaidi na mtangazaji maarufu kutokea Arusha, huwa anaenda zake kwa Salama wanatoana cheche stress zake zikipoa anarudi kuendelea na ndoa yake!

ACHANA NA NDAMA MUTOTO YA NG’OMBE!
Si mnaonaga Lulu anavyotuchamba “Catch the flight not the feelings “?
Ndio hivyo, akishapewa stress zake huko na mumewe au akiwa na shida zake za hela (Majizo bakhili)anamtafuta mubaba wake, anampandia ndege Ndama anaenda kutulizwa na kuondoka na maokoto yake.

ALI KIBA NDIO ZAIDI!
Achana na hao woooote! Hakuna aliyeweza kusuuza moyo wa Lulu kama Ali Kiba. Ali ndio kiboko ya wote, mwanaume wa maisha yake!

Wanapeana nini? Sitaki kusema zaidi, ila wote inasemekana ni mahodari wa mchezo mbaya, mchezo haramu uliokaripiwa kwa karipio kali katika vitabu vyote vya dini! Mchezo ulioangamiza kila kiumbe katika mji ulioshindikana kuishi kwa kiumbe chochote hadi hii leo!

Hayo ndio maisha ya mastaa na vimbwanga vyao!
Leo team kataa ndoa wataondoka na ushindi…

Wasalaam,

Nifah.
Cc warumi popote ulipo
 
Back
Top Bottom