Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Kuna muda mahusiano yanakua hayaeleweki. Sasa majizo bahiri hadi kwa mkewe pesa zake anazipeleka wapi!?
Kwa b dozen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna muda mahusiano yanakua hayaeleweki. Sasa majizo bahiri hadi kwa mkewe pesa zake anazipeleka wapi!?
Ndiyo furaha iliyobakiTupo pamoja Baba.....
Wajukuu mnawafurahia kinomaa
😂😂Wanapendana kisa kulana vinyesi?lol Ila lulu anaweza,yule binti ni mchafu kitamboMkuu umenisoma kwa umakini lakini? Hizo pipo hakuna cha kuziachanisha!
Ni penzi la milele, yani mmoja wapo au wote wakiondoka duniani.
Niamini, wanapendana sana.
Haina shida ntawaleta tuu baba....Ndiyo furaha iliyobaki
Kwa sisi wafugaji, unamwambia mjukuu kimbiza yule jogoo mweusi tumfanye kitoweo [emoji39], Mjukuu faster anaenda kumkimbiza [emoji847]
Uongo huu sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kipindi flan mwaka juzi nimeshamla mazi mmoja kama Salama ilikua Tanga Barabara ya 16. Manzi tom boy kinyama amenyoa halaf juu kaacha vile vi dread kama wasanii au bodaboda..Sema manzi alikua white balaa.. ni mweupe sana . anapiga pensi zake tshirt na raba kali alikua ana ofis moja pale maeneo ana chezesha kamali. So u tom boy plus wateja wake wahun wahun tu halaf hana shobo [emoji28]. Yan kwakifupi ni ngum sana hata kuwaza kumwingia Sema ndio nikamlia raket zangu kama after 2 days upelelez wangu ukakamilika akajikuta ndani ya kuta 4 na muhuni mstaarabu mimi.
Baada ya show kali tunapiga stori nikamuuuliza oya mbona jiko linaonekana kama halitumiki hili kupika pika shida nini? Akacheka sana "akanambia inaonekana we muhuni sana kama umeligundua hilo..ujue mimi watu wengi sana wananichukulia kama mwanaume hiv kulingana na mtindo wangu wa maisha so ni kama wananiogopa flan kuniletea hizo habari, hata wewe nimekushangaa sana umewezaje, inaonekana we sio mwenyeji mkoa huu".
[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa b dozen
Daaah, nina PM kadhaa hazifunguki, na mimi najidai niko bize kucheki settings, ninatamani kuteta na we PM.Cheki settings zako, otherwise naona kuna malalamiko mengi kuhusiana na hilo japo mimi sijapata shida yoyote.
Aibu zote za nini jamani? 😭😭Enzi za ujana nililala zangu lojoo. Mara nasikia zogo. Kumbe mfalme alishikiriwa kwenye korrido anataka kukimbia chumba chote kimetapakaa kinyesi sasa mzozo kashikiliwa bibie lizy anaambiwa ayafue mashuka balaa! Mfalme alivoona ataumbuka ndio akataka atimue mbio lakini hakumaliza korido wakawa washamnyaka.
Hapana sikutongozi, ni mazungumzo tu ambayo sijisiki comfortable kuyaweka barazani.Kabla hujaja unataka kuteta nini ndugu yangu? 🤣🤣🤣
Kabla shemejio hajanuna! 😜
Ni kamzozo,yaani Mwaikimba nje nje😳😳😳Enzi za ujana nililala zangu lojoo. Mara nasikia zogo. Kumbe mfalme alishikiriwa kwenye korrido anataka kukimbia chumba chote kimetapakaa kinyesi sasa mzozo kashikiliwa bibie lizy anaambiwa ayafue mashuka balaa! Mfalme alivoona ataumbuka ndio akataka atimue mbio lakini hakumaliza korido wakawa washamnyaka.
PM yangu haifunguki, ngoja nimtafute Invisible.Okay, basi karibu.
Situmii App, huwa naenda Google, labda nidownload kwanza app eti?Pole. Umejaribu kwa means zote App na browser?