Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Usinitisheeeee, wale ni mastar na kusemwa ni kawaida.
Labda kama wewe ni mgeni wa jukwaa hili, yamewahi kusemwa makubwa zaidi ya hili.

Kwani nimesema wameua hadi niwe na kesi ya kujibu? Watanipatia wapi kwanza?
Hebu nipishe bwana.
Hajakutisha ila ulipaswa kutumia code kama vile Warumi alivyokua anafanya, hapo umewataja hadharani kabisa...
Imagine Majizo anaona hili andiko atajisikiaje? Ndoa itakua salama?
 
Nifah, umeonesha immaturity ya hali ya juu. Hizi ni tuhuma nzito sana zinazoweza kupelekea mgogoro mkubwa sana wa kindoa. Ulipaswa utumie codes na si utambulisho wa majina yao. Enzi hizo moderators wangeshafuta uzi huu kwa sababu ya name calling.
 
Matope matope matope.
Aliyegundua huu ufirauni kokote alipo ajue kwamba anatuharibia vizazi.

Inakuwaje mtu anakuwa addicted kupakua na kupakuliwa.
How comes?????
 
Waambie tu
Huuuuu ni uchafu tena uchafu uliokuwa mkubwa.

Ni kwamba hakuna tu takwimu za wazi sababu ya tendo lenyewe si la uwazi ila.
Zaidi ya 50% ya ndoa za Tanzania bara wanandoa wake wanapakuana matope.
Zaidi ya 70% ya ndoa za Tanzania visiwani wanandoa wake wanapakuana matope.

Huu ushenzi upo sana sema wanaoonekana ni wachache katika wengi
 
Usifanye Babu yenu nianze kufanya research juu ya hilo, japo wasiwasi wangu ni kipengele cha kukusanya Data maana na huu Uzee nahisi kazi itanishinda 🤗🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Wewe amini hivyo Babu, mambo yamebadilika.
 
Hajakutisha ila ulipaswa kutumia code kama vile Warumi alivyokua anafanya, hapo umewataja hadharani kabisa...
Imagine Majizo anaona hili andiko atajisikiaje? Ndoa itakua salama?
Kila mtu ana namna yake Mkuu, sijawahi kuandika kwa code hata siku moja.
Halafu mbona sio jambo la siri hili?

Na huyo mume akiacha mke sababu eti kuna mtu kaandika kitu mtandaoni atakuwa hana akili timamu.
 
Nifah, umeonesha immaturity ya hali ya juu. Hizi ni tuhuma nzito sana zinazoweza kupelekea mgogoro mkubwa sana wa kindoa. Ulipaswa utumie codes na si utambulisho wa majina yao. Enzi hizo moderators wangeshafuta uzi huu kwa sababu ya name calling.
Ndio enzi hizo sasa sio zama hizi, uzi si unauona bado upo?
Nyie ndio mnaona shida lakini haya ni mambo ya kawaida mno, udaku juu ya mastaa umeanza leo?
 
Kwani kutakuwa na nini 2024 jamani? Mbona unanirusha roho?
Niambie mbea mimi nijiandae.
2024 mashangazi wengi watalia njaa. Namba E watakuwa wengi mno. Labda wale mashangazi maarufu na wanaoenda kimataifa kama akina misa ndio watasurvive. Huyo misa kashakuwa wa kimataifa na huduma ni ya kimataifa mpaka Rick Ross analegea mwenyewe 🤣🤣🤣.

2024 natabiri utakuwa mwaka wenye vituko vingi. Maana utawala wa mashangazi utaanza kuondoshwa na number E kuanza kuchukua nafasi 🤣🤣
 
Hata Madam Rita alimpataga Mzee Mengi kwasababu hiyo ya kwenda Gym na K Lynn yeye mitego yake ilikuwa kwenye mahoteli ya nyota tano tu this was long time ago.
Gym ni mbinu ya kimasoko inayonasa mwanaume kiurahisi. Na vile vitight vya gym vinavyochoresha K na tako na jasho likipita huko linalowanisha na kuchoresha kabisa, ni vigumu sana mwanaume kukaza 🤣
 
Back
Top Bottom