anaimisi DUSHELELE YA MAREHEM,,,,,,Analilia na kusikitikia nini lakini?
Analilia
na kusikitikia nini lakini?
exactly,bora angeandika ELIZABERTI MAIKOMkuu umeshaambiwa "muigizaji Lulu", kwa huko kote kusikitika ni sehemu ya maigizo/kuigiza.
Dunia mapito
Kesi kwisha
Mwenyezi Mungu amsamehe
Elizabeth Michael. Awape amani familia zote. Atusamehe nasi sote dhambi
zetu. Amsamehe Steven Charles Kanumba na kumpa pumziko la amani.
Amen.
Tayari ipo madukani. Jipatie nakala yako
Nguo nyeupe ina maana gani?mbona alivyotoka lupango hakwenda kuangalia kaburi?au mpaka aende na media?kweli usanii unaendelea
kweli hata maua yenyewe ya kisanii (plastics).Usanii mtupu.