Lulu na mama Steve leo kwenye kaburi la Stephen Kanumba

Lulu na mama Steve leo kwenye kaburi la Stephen Kanumba

Njele

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
275
Reaction score
121
lulu-mama-kanumba1.jpeg


lulu-mama-kanumba-0.jpeg


lulu-mama-kanumba-1.jpeg


Muigizaji Lulu, mama yake, na mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba walikua miongoni mwa watu walioshiriki katika misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu marehemu Kanumba afariki dunia, na kutembelea kaburi la msanii huyo Kinondoni, Dar. Lulu, ambaye ana kesi ya kuhusika na kifo cha msanii huyo, yuko nje kwa dhamana.
 
Mwenyezi Mungu amsamehe Elizabeth Michael. Awape amani familia zote. Atusamehe nasi sote dhambi zetu. Amsamehe Steven Charles Kanumba na kumpa pumziko la amani. Amen.
 
Mwenyezi Mungu amsamehe
Elizabeth Michael. Awape amani familia zote. Atusamehe nasi sote dhambi
zetu. Amsamehe Steven Charles Kanumba na kumpa pumziko la amani.
Amen.

Atusamehe kwani si tumekosa nini hapo....labda kama wewe ni muuza Jack Daniel
 
Nguo nyeupe ina maana gani?mbona alivyotoka lupango hakwenda kuangalia kaburi?au mpaka aende na media?kweli usanii unaendelea
 
Eti msanii lulu kama analeta usanii wake
 
Siku hizi hata kumsalimu Mama Kanumba kaacha na anamdharau sana.. shame on her, huku alimsaidia sana kuvuka kipindi kigumu alichokipata kipindi kile baada ya kuhusika na kifo cha mwanae.
 
Back
Top Bottom