Lulu:Na mimi Nina Kampuni

Lulu:Na mimi Nina Kampuni

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
bandughu

nilikua nafuatlia kipindi cha take one jana ambapo ilikua ni mahojiano na Lulu, alipoulizwa kuhusu mafanikio yake akasema amefanikiwa kuwa na kampuni yake

my take

pamoja na kumpongeza lkn nina maswali mengi;

hebu anzeni kwanza wenzangu na Lulu ni member humu atajibu

  1. ......................................................
 
Nafikiri mleta mada hakuelewa alichokisema Lulu or ana maana nyingine, coz mm nilangalia show na alichosema yeye ni kwamba kuna kampuni anayofanya nayo kazi , so anafanyakaza under management ya hiyo kampuni na ndio chanzo cha mabadiliko na mafanikio aliyonayo kwa sasa.
 
Hivi maana ya neno mafanikio siku hizi limetoholewa upya!?
 
asante Amanda, huyu ninayemjua?

Back
Top Bottom