Lulu:Na mimi Nina Kampuni

Lulu:Na mimi Nina Kampuni

Muacheni Lulu, kama una swali bora uende umuone uso kwa uso muongee. Sana sana hapa huwezi pata kile unachodhania kwani wengi huenda si ndugu/watu wa karibu. Mtafute mwenyewemfanye mazungumzo.
 
kweli kuna watu wana akili ndogo sana au uwezo wa kufikiri ni mdogo sana, kwani kuwa na kampuni ni kitu kikubwaaa saana au cha ajabu saana, au kufungua kampuni mtu anafikiri ni kazi saaana????!!!!
 
bandughu

nilikua nafuatlia kipindi cha take one jana ambapo ilikua ni mahojiano na Lulu, alipoulizwa kuhusu mafanikio yake akasema amefanikiwa kuwa na kampuni yake

my take

pamoja na kumpongeza lkn nina maswali mengi;

hebu anzeni kwanza wenzangu na Lulu ni member humu atajibu

  1. ......................................................

Mleta mada inaonekana una asili ya umbea
 
Huku kitaani kwetu mimi nakusanya magazeti yaliyokwishasomwa majumbani na kuyauza kwa kina mama wauza vitafunio, naomba kwa huruma yenu kama nami nakidhi vigezo vya kampuni basi mnihesabu kama mmiliki wa kampuni jamani.........please......
 
Back
Top Bottom