Hivi maana ya neno mafanikio siku hizi limetoholewa upya!?Nafikiri mleta mada hakuelewa alichokisema Lulu or ana maana nyingine, coz mm nilangalia show na alichosema yeye ni kwamba kuna kampuni anayofanya nayo kazi , so anafanyakaza under management ya hiyo kampuni na ndio chanzo cha mabadiliko na mafanikio aliyonayo kwa sasa.
Nafikiri mleta mada hakuelewa alichokisema Lulu or ana maana nyingine, coz mm nilangalia show na alichosema yeye ni kwamba kuna kampuni anayofanya nayo kazi , so anafanyakaza under management ya hiyo kampuni na ndio chanzo cha mabadiliko na mafanikio aliyonayo kwa sasa.