Lulu:Na mimi Nina Kampuni

Muacheni Lulu, kama una swali bora uende umuone uso kwa uso muongee. Sana sana hapa huwezi pata kile unachodhania kwani wengi huenda si ndugu/watu wa karibu. Mtafute mwenyewemfanye mazungumzo.
 
kweli kuna watu wana akili ndogo sana au uwezo wa kufikiri ni mdogo sana, kwani kuwa na kampuni ni kitu kikubwaaa saana au cha ajabu saana, au kufungua kampuni mtu anafikiri ni kazi saaana????!!!!
 

Mleta mada inaonekana una asili ya umbea
 
Na mimi DullyJr nina kampuni zangu..!
 
Last edited by a moderator:
Huku kitaani kwetu mimi nakusanya magazeti yaliyokwishasomwa majumbani na kuyauza kwa kina mama wauza vitafunio, naomba kwa huruma yenu kama nami nakidhi vigezo vya kampuni basi mnihesabu kama mmiliki wa kampuni jamani.........please......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…