Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Lulu ni lazima awe na stress, Majay aliwabeba yeye, mama na mdogo wake kama familia yake. Hata mama Lulu haonekani kwenye grocery vya pombe asubuhi sikuhizi
Ila huyu msichana kabeba majukumu akiwa na umri mdogo kabisa. Yeye ndio anategemewa na mamaake wakati yule mama angefanya biashara yoyote Ile ya kujiingizia kipato. Matokeo yake msichana mdogo unakuwa huwezi kuishi bila bwana au mabwana
Kwani Vanessa nae kaachika? Basi mtaani kumedamshi km kote watoto waremboooo hawana wenyewe......piga keleleeee.......OyoooooMbona mwenzake Vanesaa mdee hana huu uswahili
Mtoto mlevi sana huyu!Kama ameachana na majizo sishangai yeye kulewa. Kulewa ndo katabia kake sema majizo alikuwa anamlinda sana na kumtengeneza aonekane wa heshima.
Sasa wameachana karudi alipotoka.
Mapenzi mabaya sanaUsiku wa jana Binti Elizabeth michael, Lulu alikuwa insta live akiwa amelewa, inasemekana kwa sasa amekuwa mtu wa stress baada ya kupigwa chini na mpenzi wake Majay
View attachment 1150619
Wanawageuza watoto wao kuwa vitega uchumi, wanadhambi kweli.Wazazi wa kiafrica ndivyo walivyo
Wanawageuza watoto wao kuwa vitega uchumi, wanadhambi kweli.
Nafkri atakuwa ameshamaliza kusoma nilisoma naye pale CHUO CHA UTUMISHI.Pole sana Lulu,
I understand you,kama umekua mlevi Zaidi
ni kutaka kujaribu ku block the pain,escape the harsh reality....
Zingatia masomo mwaya...
si unaona kule love connect wanataka mke Msomi...??
sasa uwe mlevi,shule haipo..soko linashuka.. ππππππππππ
Zaidi ya utekaji, Makonda hajawahi simamia jambo likafanikiwa.Kisa cha kuachana mkuu!? Mbona walivishana pete mda flani?
Samatta nae ndani?wanaume wote waliopiga lulu, kuanzia kanumba, mzee wa iyena, yule aliyefia kifuani mwa lulu, yule aliyeimba nanii mbele kwa mbele, majizo, diamond, alikiba, mbwana sammata, ruge, wote unaambiwa hakuna aliyewahi mfikisha mtoto kileleni, sasa wewe na stress zako akikohoa tu si dushe inachomoka.
Nafkri atakuwa ameshamaliza kusoma nilisoma naye pale CHUO CHA UTUMISHI.
Mtoto mlevi sana huyu!
Mama yake Mlevi mbwa miaka ya nyuma,kwenye bar ya High Bar Tabata alikuwa akienda na mwanae bar,ili apate bia za offer kupitia mwanae.Mama yake pia nasikia mlevi sana!
Cha Pombe!
Kweli mtoto wa nyoka ni nyoka!